Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hata hivyo timu ilikua haimove in a way kwamba unaona zile sharp pass na movements ilikua kama tuna kutu vile.

Bado shot taker ni Martin. Saka kascore kwa long shot ila baada ya pale amefanya trial ngapi zingine za long shot.

Saka alimpa njano Udogie mapema sana lakini timu ikaleta tabia za kuridhika na goli wakati ilitakiwa kuzidi kupeleka mpira kule kule kwakua Udogie hawezi risk kuipata njano nyingine

Spurs wanajaribu kudominate game ila unaona error ya pasi zao tungekua na Martinelli au Trossard pembeni na Jesus kati zile pasi wasingepiga. Arteta aamini ya kwamba kwa sasa kumuanzisha Emile ni ideal kuliko Kai.
 
Na city nayo ikiwa kamili jee tuseme mpo full fit squad na city wako full fit squad aisee city ni dimension nyengine wale

They are regarded as the best team right now for a reason na wengi wanaojua mpira wanalijua hilo ila still mtakuwa na something to prove mkiwa full fit
Ngao tumechukua wakiwa full fit ama?
 
Ndo maana nikasema we have a chance....sijasema tutashinda....fully fit squad against them then unaweza ukapata kitu....ila tukianza na hiki kikosi kilichomaliza leo...aisee Saliba na Malgalhaes watakuwa na siku ndefu sana siku hyo

Nyie wapumbavu hamuwezi mshinda Spurs.
Bingwa ni Liverpool
 
Sasa unashindwa kumfunga Spurs halafu uutake ubingwa.

Game week 6 droo 2 bado hujacheza na City, Liverpool, Newcastle, Brighton. Amkeni nyie mwaka huu hamna ubavu wa kugombania ubingwa.
Timu yako ishacheza na Spurs?
 
Jesus yeye na kipa kapaisha

Nketiah yeye na kipa kamlenga kipa
Pale wa kuondoka ni Nketiah...hata akiwa na mpira unajua uhakika wa kufanya jambo sahihi ni mdogo sana....ESR akipata dakika za kutosha we have a baller in him....anaficha mpira....anapiga pasi sahihi na akiwa karibu na lile goli unajua linaweza kutokea lolote....ila braza Nketiah Sasa....yy anajua kutoka nduki tu ndo silaha yake
 
Ndo maana nikasema we have a chance....sijasema tutashinda....fully fit squad against them then unaweza ukapata kitu....ila tukianza na hiki kikosi kilichomaliza leo...aisee Saliba na Malgalhaes watakuwa na siku ndefu sana siku hyo
Still hio mechi naiona ni draw au city atashinda kwa low margin 1-0 au 2-1

Mostly pep atakuja kubeba draw ila kwa kasi anayokuja nayo Liverpool ahaha hapa ndo napo pata mashaka aisee kama pep atakubali ku drop point kizembe anamjua liver vizur akishikilia bomba hapo juu kutoka mpaka wakutane wenyewe kwa wenyewe
 
Pale wa kuondoka ni Nketiah...hata akiwa na mpira unajua uhakika wa kufanya jambo sahihi ni mdogo sana....ESR akipata dakika za kutosha we have a baller in him....anaficha mpira....anapiga pasi sahihi na akiwa karibu na lile goli unajua linaweza kutokea lolote....ila braza Nketiah Sasa....yy anajua kutoka nduki tu ndo silaha yake
Sasa Emile namba yake si ndiyo anakaa Kai fundi
 
Hahaa very funny.
Kwa arsenal iliyopita miaka kadhaa nyuma anakosa key players kama
partey
Timber
Trossard
Martinell

Na bado kwenye Derby kama hii unapata draw.Its not ready but we see the light. Spurs walikuja wana uhakika kwamba hii game wanashinda.
They outplayed us yes but tumepata point moja
Kwamba spurs walikuja wakiwa na uhakika wa kushinda 😂😂😂

Mnadroo ndio mnajifanya ma underdog 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom