Revocatus junior 93
Senior Member
- Oct 14, 2016
- 169
- 330
Jamani suala la ubingwa subirini hata 10 games kupita hasa hasa wale top 5 wakutane wao wao kwa sasa tutunze akiba ya maneno..Team toka nikiwa shule msingi mpaka leo sijaona ikiichukua ubingwa hii laana kwa kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app