Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naona tuna abiria mwengine uwanjani.. Nketiah, nitashangaa akiendelea kuwepo uwanjani mpaka dk ya 70.

Aingie Nelson kwa sababu yuko aggressive upande wa kushoto ili Jesus ahamie kati.

Jesus nae ashaanza ugonjwa wake wa kukosa nafasi za wazi..

Ngoja tuone 2nd half itakuaje.
 
Arteta sijui anaonaga nini kwa Nketiah ambacho Neilson hana,ni kapuuzi sijui kwa nini hakauzwagi,katakuwa kachawi haka,kiungo yote imeoza
 
Naona tuna abiria mwengine uwanjani.. Nketiah, nitashangaa akiendelea kuwepo uwanjani mpaka dk ya 70.

Aingie Nelson kwa sababu yuko aggressive upande wa kushoto ili Jesus ahamie kati.

Jesus nae ashaanza ugonjwa wake wa kukosa nafasi za wazi..

Ngoja tuone 2nd half itakuaje.
Hakuna haja ya dakika ya 70,

Asirudi kabisa maana hawa Tott sio wa mchezo sio wale wa misimu minne hadi mmja nyuma
Kocha kawabadilisha sana tukisubili hadi dakika ya 70 wanaweza kutupiga bao la pili
 
Wote tunacheza mpira pale mido, hii ndio tatizo

It's okey, Basi nafasi tuzitumie vizuri
Jesus, saka na Nketiah still wapo low sana

Mfumo wa Spurs leakage ipo upande wa saka, Kule ndio inabidi kuwa na supply kubwa ya mipira

Spurs kutotaka kucheza counter hii ndio inabidi iwe advantage yetu
 
Nketiah na Vieira watolewe waletwe ESR na Nelson, hata Zincheko anafaa kutolewa aingiaeTomiyasu
 
Back
Top Bottom