Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

...khaaa? Belo, yaani unalazimisha comparisons zisokichwa wala miguu?

Kila nisomapo hawa wanaohesabu mafanikio ya fab barcelona (individually) nazidi kufadhaika aisee..kumbe wenzetu mna myopic views ati team ni mtu?

With or without fab, team ya Barcelona ingeshinda jana, same kwa team ya Man u with or without Roone au Real Madrid with or without Kaka...

Gerard Pique alikaa Manu misimu 3 na lishinda Ngao ya Jamii,Premier League na Champions League wakati Fabregas amekaa Arsenal misimu 8 but ameambulia FA Cup na Ngao ya Jamii

Conclusion ni kwamba,Cesc na Pique wamepata mafanikio makubwa zaidi wakiwa Barca kuliko walivyokuwa Arsenal na ManYoo.

Nasikia jukwaa la Barca limehama hapa ni jukwaa la Arsenal .... .... ... tunajiandaa kwenda kuwabangua manure nyumbani kwao khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hapo ndipo watakapojua kilichomtoa kanga manyoya.

Huu ndo ujinga wa kukaa katika mahusiano na mwanamke kwa siku tatu,anajifungua halafu unajiona kiduume,hiyo mimba si yako ni ya vidume wengine,ni sawa sawa na mtoto wa kishua kujidai kwa mali za dingi yake,upumbavu mtupu!

Sina hulka ya ubishi your majesty,barca ni magwiji wa kandanda till this moment,lakini cesc kabahatika kulipata kombe ndani ya hizo 48hrs kwa coincidence tu,what must be must be namtakia maisha mema hapo cam nou na ninamuombea aepukane na adha ya kuwa permanent bench warmer,apate namba ya uhakika kikosini,asiishie kuwa rising star ila awe ever shining star for barca.

Congrats cesc for being among the heros,hata Gerald Pique angebaki manYoo Fc asingekuwa part ya mafanikio makubwa ya Barca Fc!

It's nice to see such a progressive recovery from your posttransfer jelousy disorder (PTJD), however, your long-term prognosis is still guarded. We have a good reason to keep you under the same prescription.

Ee bhana,you are monitoring my posts like a soldier beside the time-bomb!by the way i'm not such an incumbent arsenal fan,if there is truth in anything then i'm ready to accept it!

Aisee......Yameshakuwa hayo jirani.....Kwani kuna tatizo lolote kati ya Cesc na Arsenal?....Mbona sie tushaanza kumsahau bana.....

Ni wewe tu umemsahau jirani, wapo wengi tu hapa wanatoa vilio kila kukicha ndio maana inabidi tuwakumbushe kwamba the guy has gone! Kibaya zaidi ni kwamba hivyo vilio vinaambatana na kashfa kwa Cesc wakati tunajua ameondoka kwa sababu za msingi.

Nasikia jukwaa la Barca limehama hapa ni jukwaa la Arsenal .... .... ... tunajiandaa kwenda kuwabangua manure nyumbani kwao khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hapo ndipo watakapojua kilichomtoa kanga manyoya.

umeona eehhhh!!!! .... hebu tuwakumbushe yule mchezaji wa bei ghali jinsi wanavyommaliza na kumshusha kiwango simply the guy he doesn't belong there hajazoea ile soccer ya butua mpira niukute mbele .... hivi anaitwa naniiiiii???? fernando who..???!!

Naona kuna striker Wenger anamleta katika masaa machache ya jayo inavyosemekana.

Anaitwa Park Chu-Young ni m-South Korea, uzuri wa hawa jamaa wanakunywa supu ya mawe kwahio lazima atakuwa ngangali pale mbele kama mambo yakikamilika kama yalivyopangwa. Wenger alikuwa anataka kuongeza striker sana kwa vile Gervinho na Chamakh wanaenda Africa january.

Park Chu Young NEW Special - "Rain Maker" - YouTube

Park chu-young , m'villa , cahill, sneider/kaka...ishu ikienda hivi huu msimu lazima tutishe.

Park chu-Young to Arsenal!what a fantastic and versatile player for us!

Naona kuna striker Wenger anamleta katika masaa machache ya jayo inavyosemekana.

Anaitwa Park Chu-Young ni m-South Korea, uzuri wa hawa jamaa wanakunywa supu ya mawe kwahio lazima atakuwa ngangali pale mbele kama mambo yakikamilika kama yalivyopangwa. Wenger alikuwa anataka kuongeza striker sana kwa vile Gervinho na Chamakh wanaenda Africa january.

Park Chu Young NEW Special - "Rain Maker" - YouTube

Chelsick wanataka kumchukua .... ..... ....

Hawa huwa wanasubiri AW ataje mchezaji basi wanakimbilia kumsajili- angalia Mata!!! too low!!!
Kwa Mata wametupiga bao sana...Mata alistahili awe Arsenal player!
Naona leo katupia goli kwenye debut yake

Chelsick wanataka kumchukua .... ..... ....

hahaha! nasikia jamaa ni captain wa timu ya taifa , the guy he played world cup... so experience anayo... pia nasikia he is a free kick specialist .. jamaa hawezi kwenda popote inaoneka ni mchezaji naipenda arsenal imagine alishakubaliana na lile... kafanya medical checkup alipopata simu toka kwa prof tu! dude left lile to north london! kama tukifanikiwa kumsajili atatusaidia sana sababu atacheza kwa mapenzi yote!! sio kama na$ri..

Wakuu heshima mbele yenu!
Hivi kwanini Arsenal inafungwa maranyingi na Man U? tatizo ni nini?

Wakuu heshima mbele yenu!
Hivi kwanini Arsenal inafungwa maranyingi na Man U? tatizo ni nini?

Tatizo ni kuwa mpira huwa unampita goli kipa halafu unapita katikati ya ile milingoti miwili ya chuma.

Tatizo ni kuwa mpira huwa unampita goli kipa halafu unapita katikati ya ile milingoti miwili ya chuma.
Acha masihara bwana....kama wewe ni mpenzi wa EPL hebu eleza hisia zako kwa nini Arsenal inafungwa mara nyingi na Man U?

Back
Top Bottom