nawakumbusha, mkienda Italy msisahau kubeba pampers kwa ajili ya hivyo vitoto ushuzi vyenu.
Udinese wamecheza mpira mzuri kuliko nyie ambao mlikuwa kwenu.
Udinese wamefanikiwa kumtoa Man of the Match na nyie mmefanikiwa kulitoa Chamakh kama flop of the Match...
Dah naimani mtu kama Ljungberg, Pires, Henry, Maestro Bergkamp, Kaka mkuu Vieira, Martin Keown, Babu Tony Donkey Adams wakiiona assnail hii machozi yanawabubujika.
Yaani Assnail ni uharo kwa sasa mpk aibu hata kujitangaza kuwa wewe ni mshabiki wao.
arsenal ni ushuzi na ni bora kasepa...
Timu kila siku inasukwa na haikamiliki, kama si usakala ni nini?
Fabregas kaja ana miaka 16 kaambiwa timu inasukwa mpaka uso umemjaa madevu na keshakomaa bado anaambiwa timu inasukwa...
tumeona timu kama REal Madrid ikisukwa na tofauti unaona, timu kama Inter Mourinho aliisuka kwa misimu miwili tu na ikabeba makombe yoote.
Sasa hiyo Assnail inayosukwa kila msimu halafu inaruhusu watu kama Flamini, Hleb, Henry, Clichy, Cesc, Gilberto na wengine weeengi kuondoka ile hali wao ndio wangekuwa mashujaa wa kupigana na kupata vikombe.
Wenger ni Gagulo na anatakiwa afukuzwe na kulambwa viboko 12 ili akamuonyeshe Mkewe anayempaga mawazo mgando kama hayo.
nimefurahi Cesc kuondoka, sasa bado Van Persie na Nasri.
Wapuuzi wakubwa hawa yaani timu iko Dunia ya kwanza halafu wanaleta uongo na porojo kama za CCM wanaojishauaga kuwa uchumi wa taifa utapanda hivi soon na bei ya mafuta, umeme vitashuka. Tutajenga barabara za juu.....puuumbav
Wakuu tupeane next line-up na Man United Jumapili.
Szczesny, Jenkinson, Djourou, Vermaelen, Sagna, Walcott, Chamakh, Arshavin, Ramsey, Rosicky, van Persie.
Subs: Fabianski, Oxlade-Chamberlain, Traore, Miquel, Eden Hazad, Jack Wilshere.
Hahaha mkuu tangu kipenga cha mechi ya kwanza niliwaambia mshapita.. Champions League hainogi bila Arsenal. Channel 5 waachieni Fulham wanakujulia kule kwenu uku jumanne na jumatano.Wacha fujo mkuu khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kwani ulifikiri chichi hatujui soka ... ...
Wewe na we siku hizi umekuwa mtu wa kuonekana mkishinda tu au majukumu ya ujenzi wa Taifa yalikubana?...naamini wapiga bodi watapungua kidogo kwenye jamvi letu, khaaa...hamtupi hata nafasi? Arsenal chama kubwa, msiwe na wasi wasi...
Together we stand, pamoja daima..kama kawaida..
Wenger kweli mchumi!
Jenkinson kanunuliwa pound 1m anacheza champion league!!!
Focus jumapili sasa wacha tupongezane biashara imeisha na tumejiongezea mkwanja wa £25 millioni pamoja na zile £90 millioni Wenger sasa ana mpunga wa kutosha kuleta vifaa vya kueleweka.
Wacha na tutege masikio.
Wenger kweli mchumi!
Jenkinson kanunuliwa pound 1m anacheza champion league!!!
Babu kasema post match interview kwamba vifaa vinaweza kuja ila hawezi kutaja majina, na amemalizia kusema maybe even tomorrow ! Naona kuna target alikuwa anasubiri matokeo ya leo kabla ya kukubali kumwaga wino, stay tunned!!!!
hahaha! kuna watu wabunifu Wamechakachua jina bana from SAMIR NASRI TO $AMIR NA$RI
Unashangaa leo?! Mbona ndio kazi ya washabiki wa Arsenal....wana wivu sana mchezaji akiama bado yuko kwenye kiwango wanammwagia mitusi ya kufa mtu....walimwita Ashley = Cashley, hawajaanza leo na hawataacha leo maana wachezaji wa miaka hii hakuna loyalty, it's all about money!
Wewe na we siku hizi umekuwa mtu wa kuonekana mkishinda tu au majukumu ya ujenzi wa Taifa yalikubana?
hongereni Fat Arses! Naona sasa angalau mtapata wachezaji wa kusajili maana hakuna aliyekuwa tayari kusign kucheza kule channel 5.