Yaan mchezaji mzuri kwako had asifiwe au wahuzunike alikotoka?Utaongea yoote my brother but in reality KAI ni mzigo mzito kwa Arsenal wote ni Arsenal fans but tusijitoe akili kwenye ukweli usemwe huyo KAI since yupo Chelsea ni player wa kawaida hata wakati tunamnunua my friends,relatives hata Chelsea fans duniani hakuna aliyeshtuka KAI kuja kwetu walichoshangaa ni kitu gani Arsenal Imekiona kwa KAI so usimpambe aonekane ni bora ukitoa goal lake la final vs Manchester City in champions league KAI hajawahi kuwa player tishio abadani
Nenda kwenye pages za Chelsea hata JF jukwaa la Chelsea uone kama kuna wadau wamemmis KAI kwa alivyoondoka mbona wadau hawamsemi Trossard?JIULIZE
Kila mchezaji anayesajiliwa atapinga Bei au atasema hafai ,alipinga Sana Jesus kusajiliwaMimi naomba nikupinge Wewe muchezaji gani umewahi mkubali humu hata wakifanikiwa hujawahi kuomba msamaha
Time to just let Kai Havertz get on with his Arsenal Career without all this nonsense talk about whether or not he is a flop or not.
Yes he has missed placed a couple of passes, Yes he should of scored on a couple of occasions, but he hasn't been the only one. Give the guy a break he will come good.
Nitajie nani sikuwahi kumkubali brother?usipende kukurupuka Mkuu ,player ambaye hadi kesho naona ni mbahatishaji ni NKETIAH pekee huyu sijawahi kumkubali anaenda na upepo kuna muda anakuwa juu kuna muda anakuwa chini haeleweki kama this season amekuja juu but kuna muda utashangaa anarudi chini na Defender wetu Gab amerekebisha makosa yake na kuna siku nilisema akiacha kusinzia aka focus kwenye game hata Brazil national team ataitwa na ameitwa na suala ni aanze benchi ausome mchezo akiingia ajue cha kufanyaMimi naomba nikupinge Wewe muchezaji gani umewahi mkubali humu hata wakifanikiwa hujawahi kuomba msamaha
Time to just let Kai Havertz get on with his Arsenal Career without all this nonsense talk about whether or not he is a flop or not.
Yes he has missed placed a couple of passes, Yes he should of scored on a couple of occasions, but he hasn't been the only one. Give the guy a break he will come good.
Kaka Acha porojo na kudanganya members wenye akili humu JF wengine tuna akili na hatuwezi kusema mambo mengi KAI NI MZIGO fanya research ndogo au nikuulize kwa IQ yako timamu why ARTETA anatumia muda kwenye press kumtetea KAI kuliko player yoyote yule?kama una akili jibu utapata kama una akili maana Arsenal ina players wengi why KAI?TAFAKARIYaan mchezaji mzuri kwako had asifiwe au wahuzunike alikotoka?
Wachezaji 90%+ waliopo Arsenal wamekuja viwango vyao kawaida na wengi uliwakataa , yaan Kama una mawazo mchezaji anapangwa anacheza tu bila kujua details ndogondogo Basi Kamwe hutaelewa kwann Kai anacheza na ataendelea kucheza ,
Kai angekuwa ovyo Kama unavyodai Basi tungekuwa mechi zote anazocheza tunazidiwa kiungo ,hivi unajua kucheza na Double 10 maana Kai na Øde Ni no.10 4-3-3,Ni timu 2 tu ndio zinacheza hivo DUNIANI kwasasa Arsenal na Mancity ,
Kama Kai ni mbovu kweli kiasi hicho mnachodai tungekuwa exposed Sana eneo la kiungo .
Mashabiki wengi hamtaki kuzingatia vitu Kama movement, distance covered ,positional play, Kuna small details nyingi Sana, mashabiki wanajua kufunga na kutoa assist tu ,
Ni mwaka Jana hapa ulikuwa unapinga Sana usajili wa Jesus, hata Rice Kama sijakosea ulipinga ,n.k
Sikumbuki mchezaji gan alisajiliwa Arsenal ulimkubali au kumpa sapoti ,
Kai kwanza kaanza vzr kuliko wachezaji wengi waliokuja Arsenal labda Kama una matatizo ya kusahau , Ødegaard alitumia miezi 6 alikuwa ovyo ndio maana hata Madrid waliamini Øde Ni flop ndio wakatuuzia kwa £30m , Partey huyu ndio alivurunda Sana ,Kuna mechi tulienda 10 tukashinda moja tu , ,n.k wengi walianza ovyo Sana hapo Arsenal , Kai mechi 4 tu unasema ni mzigo ,
Nikupe taarifa kwa anavyocheza Kai ataendelea Sana kupata nafasi hapo LCM, Nilikuwa naangalia uchambuzi Jana , inaonesha ataendelea kucheza Sana ,
| @PaulMerse Jana anasema kuhusu Kai Havertz:
“I feel for Kai Havertz. He’s playing in a position where it’s not easy. He hasn’t played very well. Mikel Arteta will stick with him. He’s low on confidence but Arsenal have won three and drawn one.”
“You’ve paid that money and put yourself out there to go and get him. The cream rises to the top. I’m a big fan but I did say when he got signed, he has got that look of Mesut Ozil about him.”
“That’s the problem. If it isn’t going well, he doesn’t look too interested. That’s not the case – it just comes across like that.”(sky via tbr)
[emoji599] Arsenal are moving closer to reaching an agreement with Martin Ødegaard on a new long-term deal.
Arsenal have offered the Norwegian superstar a brand new deal until 2027 + 1 year option.
He will become the highest paid player at the club [emoji836]️[emoji837]View attachment 2743220
Kuna update yoyote juu ya injury ya Gabriel magalhaes jana?
Mbona unakimbilia nimedanganya ,kwann usitetee hoja zako bila kuwahusisha wengine, Kuna mtu au watu nimewashika mashati humu na kuwadanganya?Kaka Acha porojo na kudanganya members wenye akili humu JF wengine tuna akili na hatuwezi kusema mambo mengi KAI NI MZIGO fanya research ndogo au nikuulize kwa IQ yako timamu why ARTETA anatumia muda kwenye press kumtetea KAI kuliko player yoyote yule?kama una akili jibu utapata kama una akili maana Arsenal ina players wengi why KAI?TAFAKARI
Brother unachekesha sana Odegaard or Partey hawa hakuwahi kucheza EPL na true mchezaji anavyobadili mazingira YES kukutana na mambo mapya sometimes inawezekana akawa flop kwa muda akizoea anakuwa wa moto like Fabio kwa sasa ,mimi namuongelea KAI mwenye season 3 or 4 hapo EPL nipe maajabu yake (statistics)zake kisha tuendelee na mjadala mambo ya formation hayatusaidii sisi fans tunachotaka mchezaji awajibike uwanjani that's it mambo ya 4-3-3 or 3-4-3 hatuna haja nayo au niandike kwa capital letter narudia ODEGAARD OR PARTEY OR FABIO hawakuwahi kucheza EPL but kwa KAI ana season 3 or 4 EPL na ni MZIGO
Sababu ya EGO ya Arteta hatakubali kirahisi kuona kashindwa kwa KAI but naapa ingekuwa kuna kura za wazi zinapigwa kama KAI next game aanze first 11 au akae benchi ungejionea AIBU YAKO
[emoji1787]Huo ubavu wa kumfunga Manchester ndio hamna, yaani utd hata iwe mbovu vipi lakini kufungwa na Arsenyani hua ni ngumu same to Liverpuli kwa Man Utd.
Livapunda hata iwe mbovu vipi lakini ikikutana na Utd lazima tuchezee.
Una timu bovuAntony anawasalimu anasema crybaby Zinny ajiandae kulia leo
View attachment 2696437
Hujui Mpira we kengeWana Arsenal wenzangu hapa kwa Rice tumepigwa na West Ham mchana kweupee
Arsenal sio timu lako la unyumbuniHapa Arsenyani bila double pivot hamtoboi next season. [emoji23]
Una mdomo halafu huna timuTunaambiwa Rice ni kiongozi uwanjani. Labda uongozi wa kuongoza vikao vya Zincheko vya kufundisha pressing, kuinvert RB LB, na kuoverload
View attachment 2696560
Vipi wewe kengeNa hapo ndio mmeweka your strongest lineup dhidi ya Manchester United C hapo bado hajaingia Rashford,Casemiro,Onana,Ericksen leo naziona 5
Wewe Ni mropokaji hii mechi ilikuwa ya kujaribu mifumo uliongea ukajimaliza sanaKubali team yetu ina kelele za mtandaoni but in general kwa football we are poor daily
Wewe unajua wengi waeopokaji Sana humu jfKwa ukubwa wa kikosi mechi kama hizi ni muhimu sana katika kumpa mwalimu mwanga wa team selection.tactically midfield ni eneo ambalo litampa changamoto kubwa kocha juu ya nani aanze na abaki
Tuliwaambia Lile ni bonanzaUsijidanganye eti Friendy Match........Hiyo ilikuwa ni Real Test kwenu na imeonyesha bado hamjawa tayari kwa Msimu.