Penati imetokea wapi pale?
Safiiiiiiii sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa refa matusi yote ya kiswahili nimekupa.
Penati imetokea wapi pale?
Pale Vermaelen ndie mwenye makosa ila wakayeyusha kiaina.
Refa hile handball ya Varmelen sio ya kutoa penati kabisa. Mpira umemfata mkononi. powa tu
Goli la pili hapa muhimu sana.