Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Partey January tuuze mapema

Arteta says about Partey's groin injury:

"It doesn't look good. We need some more tests. I believe he'll be out for a few weeks."
 
Mashabiki ni wadau wakubwa wa timu; ukinunua jezi/scurf/ kofia/sticker/ tracksuit ya timu unakuwa umechangia kwenye timu. Hela iliyotumika kumnunua Havertz kuna mchango wangu. So when things are going wrong, I have to speak out my mind
Sorry mkuu, unamaanisha zile jezi za Kariakoo za Tsh 25000?!
 
Partey January tuuze mapema

Arteta says about Partey's groin injury:

"It doesn't look good. We need some more tests. I believe he'll be out for a few weeks."
Hapo ndipo kazi ya umeneja inapokuwa muhimu sana kwa timu.

Player management ni kitu kizuri sana na Arteta safari hii akiweza kuwamanage wachezaji basi Arsenal itafika mbali kwenye mechi za PL na CL.

Partey kwa sasa ni kwa mechi chache akipona na kwa kuangaliwa sana ila nahisi Arsenal watatafuta DM mwingine ikifika January.
 
Nikikumbuka Fabio Viera Alivokuwa Anasemwa Sijui Hana Afya,Mara Arsenal Tumepigwa,mara apelekwe mkopo ,

Ila Kwa Sasa Anawaprove Wrong Weng.Nafikiri Arteta Ampe Nafasi Sasa Ya Kuanz first eleven [emoji1621]

Talent zinahitaji muda
 
Mikel Arteta kuhusu Kai Havertz:


"Nilimwambia jana mwanzo ni mgumu. Nilipokutana na mke wangu mwanzo ilikuwa ngumu kumpata, ilibidi nijaribu kutuma ujumbe na kwenda na kwenda.,Hadi mwishoni aliposema ndiyo nataka kuwa pamoja, "


[sky] [emoji23]
 
Mikel Arteta kuhusu Kai Havertz:


"Nilimwambia jana mwanzo ni mgumu. Nilipokutana na mke wangu mwanzo ilikuwa ngumu kumpata, ilibidi nijaribu kutuma ujumbe na kwenda na kwenda.,Hadi mwishoni aliposema ndiyo nataka kuwa pamoja, "


[sky] [emoji23]
Harvetz uwezo wake ndipo ulipoishia,hatakuja kubadilika mark my words,anapaswa kupewa muda kwenye CARABAO CUP na sio EPL au UEFA,kwanza hata kujituma tu kukaba ni shida!!ni ajabu kumuacha nje VIERA,TROSSAD na JESUS na kumuacha huyu JINGA Harvetz dakika 70,huyu ni FLOP TUMEPIGWA tukubali matokeo,goli gani kakosa lile??
 
Havertz atakiwa sasa akazanie kujifunza kutopoteza mipira sana na pia kutokuwa slow kwenye kulink mchezo.
Haya masuala ya kumsubiri mtu ajifunze wakati ambao tunataka matokeo ndio jambo ambalo sisi mashabiki hatuwezi kulivumilia.

Kama kuna watu walioko tayari kama Fabio/ESR ni bora muda mwingi wapewe wao huku tukimpa muda kidogo kidogo Havertz wa kujifunza.. awe anaingia time kama zile anazoingia Fabio, dk ya 75 hivi muda huo tukiwa tunaongoza goli 2 na kuendelea au asubiri aanze mechi za Carabao na FA.
 
Pia kuna hizi formations.

Hivyo Arsenal au timu nyingi hutumia mifumo mbalimbali ya uchezaji huku game likiendelea.

Arteta akihojiwa leo amesema leo Arsenal imecheza formations 36 na kwenye mechi na Man City ya Community Shield walitumia 43 formations.
 
[emoji110]
 
Kuna mtu aliwahi kuzungumzia,walizungumzia na tunazungumzia.We need a STRIKER
Striker na wakati hakuna nafasi zilizotengenezwa za kumuitaji uyo striker,

hata Halland bila nafasi kutengenezwa ni kazi bure tu kaka,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…