Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naona Wenger kaona kukaba sasa basi, kamtoa Frimpong kamleta Rosicky.

Kwa vile pale mbele pasi zinakataa kwanini wachezaji wetu wasijaribu mashuti ya mbali?
 
Hawa Udinese wenu....!!
Good luck watani maana Champions League bila Arsenal haitonoga.
 
Hapa Tripoli pana matatizo kweli ya Internet na tunashindwa kabisa kupanga Artillery zetu.

Hata hivyo Arsenal inabidi isawazishe hili goli ili kuwafanya watafute magoli matatu.
 
Frimpong ni mchezaji mzuri sana lakini ana matatizo ya experience, na AW anaogopa kadi nyekundu.

Yeah namkubali sana dogo, kwa hapa leo naona kwa vile wenger anajua tunahitaji sana ushindi lazima ilikuwa kumleta mtu kama Rosicky.

Nimefikia wakati naona hata yule Chamberlain amlete tu ajaribu bahati yake, anaweza akajituma zaidi kwani ana hamu ya kuonesha kipaji chake.
 
Crucial away Goalllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllll
 
Udinese ni lazima wafunge goli mbili ili washinde na sasa ndio kabumbu limeanza.
 
Safiiiiiiii sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa refa matusi yote ya kiswahili nimekupa.
 
Back
Top Bottom