Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Are these guys dont know whow to shoot or they r not allowed to do so?????? What a waste by Sagna.......
 
hawa jamaa sio wazuri kiivo........We will come back in this.....
 
jamani wanaongoza tu! hawajashinda bado.. jamaa wanafungika hawa....
 
hawa jamaa sio wazuri kiivo........We will come back in this.....

Tatizo hatuna creativity hapa kati, unamuona RVP anahangaika kila position kubuni something, Gervinho na Walcott decision na movement zao ni off-limit, final ball ndio tatizo kwao wote wawili, tunahitaji labda mashambulizi kuanzia midfields players, hawa jamaa wanacheza counter-attack na kwa sababu humid condition wanatusumbua sana.
 
Haya wakuu tuone mpira sasa 1 - 1
Kila nikiona post zako mkuu nakumbuka hiyo avatar ya game theory hapo juu, yaani kama nakuona unavyoangalia mpira na mkono kwenye paji la uso

AISEEEEEEEEEEEEEEEEEE
 
Tatizo hatuna creativity hapa kati, unamuona RVP anahangaika kila position kubuni something, Gervinho na Walcott decision na movement zao ni off-limit, final ball ndio tatizo kwao wote wawili, tunahitaji labda mashambulizi kuanzia midfields players, hawa jamaa wanacheza counter-attack na kwa sababu humid condition wanatusumbua sana.

Tuna tatizo pia hapo kwenye Central defence, huwezi kumuachia mchezaji wa aina ya Di Natale free header namna ile!!! Mie nina mashaka mno na matokeo ya mechi hii
 
Back
Top Bottom