Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,093
- 3,151
Ko arsenal alikuwa na back up ya pesa...huwa unafatilia kwa ukaribu madirisha ya usajili kuona jinsi mashabiki wa Arsenal Dunia nzima walivyokuwa wanalalama namna klabu ilivyokuwa haitoi pesa kusajili kipindi kile...halafu unazungumzia Nketiah
....mechi ngapi ametupa points 3 hyu dogo....unapozungumzia ukubwa wa mchezaji unazungumzia nafasi anazopewa kwny timu au aina ya timu anayochezea
....umecheza mechi 3 mpk Sasa na una point 3 mkuu
....nilikuambia ww bdo ni WA kawaida sana bwana mdgo na hiko kikundi chako cha mdundiko....utakuja kunielewa vzuri mpk tukifika January uone ulipo....hiyo nafasi mloshika mwaka jana ndo mwanzo na mwsho...utawapisha kina Liver...Chelkenge na Manyumbu...ww utarudi mtaa wa saba huko
....maana ndo level zenu hzo...wafundishe mpira vzuri kina Gordon na Almiron ndo uje kubishana hmu ndani
Unaongea kama vile hapo top 4 umepazoea labda ngoja nikukumbushe tu kidogo 2016/2017 -5 , 2017/2018 - 6 , 2018/2019 - 5, 2019/2020 -8 , 2020/2021 -8 , 2021/2022-5 .
Kuna mwaka ulikua unapishana point 2 na Sheffield united ukaachwa na wolves point yaani kubahatisha this season unataka kuwakata wenzako yaani una miaka 2 mfululizo unashika nafasi ya 8

leo sehemu yako pendwa unaikata na washikaji zako kina wolves unawakana . Usijifiche kwenyewe suala la kutotoa hela hilo si kweli kabisa kina auba, mustafi , sanchez, ozil ,xhaka na pepe wote hawa mmetoboka pesa ndefu .
Newcastle imefungwa na man city na liverpool timu ambazo hutakaa upate matokeo yoyote this season , atleast hata Newcastle tukikutana na city tunaonyesha uhai sasa wewe emirates umekula 3 ukaenda etihad ukala chuma 4 na hapo ulikua umejipachika jina la title contender

hata draw tu kwa city ulishindwa kupata. Hizo points3 ziliwafikisha wapi?
Emery mlimbania hela akajikaza kawafikisha europa fainali na pesa kiduchu . Huyu teta wenu hela nyingi lakini hakuna cha maana mlichofanya zaidi ya matumaini bandia anayowapa kila siku.



