Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna mistari kadhaa una hoja juu kwenye mifano ya Liver, Pep, pungufu
 
Yule Nketia kwa mpira unaopigwa na Nafasi zinazotengenezwa na Arsenal hakuna wakumuweka Benchi hata Mmja, Nasema hakuna Finisher kama yule pale Arsenal.

#NketiaMyPlayer
 
|| Arsenal are reportedly interested in signing Benfica’s 25yo RB, Alexander Bah. Bah can also play on both wings and CF [Via - @TipsBladet].
Hizi ndio profile za kuja pale, wing back
Anakaba
Anaenda kumwaga maji
 
Mkuu hiyo hashtag Kama utani utani lakini itajipa tu
 
Ødegaard akiwa Stromsgodset tulitegemea aje kuwa Levels za Messi. Inaskitisha sana mafanikio aliyopata hadi sasa 25yrs ni kuingia top 4 ya epl na Arsenal.

Wasted talent
 
Hivi hawa Chelsea wanawadanganya nini Madogo hadi kuwasajili

Palmer sikutegemea kabisa angeondoka Chini ya Pep wakati nilikua naamin huu ndo ungekua wakati wake kushine saaana.
 
Hivi hawa Chelsea wanawadanganya nini Madogo hadi kuwasajili

Palmer sikutegemea kabisa angeondoka Chini ya Pep wakati nilikua naamin huu ndo ungekua wakati wake kushine saaana.
Wanapigwa mahela ya usoni....atawasaidia🤠🤠🤠....maana kidogo huyo dogo football brain...sio sawa na zile takataka walizojaza pale
 
Hamis wewe ni Muhaya?😂
 
Ødegaard akiwa Stromsgodset tulitegemea aje kuwa Levels za Messi. Inaskitisha sana mafanikio aliyopata hadi sasa 25yrs ni kuingia top 4 ya epl na Arsenal.

Wasted talent
Ulitegemea wewe na Nani?, Unadhan ode angekuwa kwa makocha matapeli Kama 7hag angekuwa alivyo leo ?

Tulinunua talent kwa £30m now inathaman ya £100m+

7hag Hana uwezo wakumdevelop mchezaji hivo mifano ipo Sancho ,n.k

Ødegaard alishabeba UCL na mataji mengine akiwa real Madrid ,akaonekana amefeli akachukuliwa kwa £30m kaja kwa super Mikel Arteta now anathaman ya £100m+

Unadhan ode unaweza kumpata kwa Bei ya nyanya
 
Una picha yoyote ya Ødergaad akiwa na taji la UEFA??

Huyo mtoto 25 yrs kitu kafanikiwa maisha yake ya mpira kuingia top 4 tu ya epl.

Kama kuna mafanikio yoyote tunaomba uthibitisho wa picha.

Arteta na th tofauti yao ni nywele tu.
 
Ødegaard akiwa Stromsgodset tulitegemea aje kuwa Levels za Messi. Inaskitisha sana mafanikio aliyopata hadi sasa 25yrs ni kuingia top 4 ya epl na Arsenal.

Wasted talent
Kufikia levels za Messi si kazi ndogo kwa yeyote yule ila Ode aliceleweshwa na Madrid. Sisi tumemrudisha kwenye reli. Tusipozingua kama timu na kocha akirekebisha mambo kadhaa, Ode atakuwa wa mot sana kwa miaka 5 au zaidi mbele
 
Una picha yoyote ya Ødergaad akiwa na taji la UEFA??

Huyo mtoto 25 yrs kitu kafanikiwa maisha yake ya mpira kuingia top 4 tu ya epl.

Kama kuna mafanikio yoyote tunaomba uthibitisho wa picha.

Arteta na th tofauti yao ni nywele tu.
Na Bruno je kapten wako mlalamishi miaka 27 kafanikiwa Nini , Ødegaard ndio safari anaianza

Still ana honors hizi hapa

Martin Odegaard trophies list

English Super Cup winner. Arsenal 2023.

Europa League participant. Arsenal 2022-2023. Arsenal 2020-2021.

Champions League participant. Real Madrid 2020-2021.

Spanish cup winner. Real Sociedad 2019-2020.

UEFA Supercup Winner. Real Madrid 2016-2017.

Champions League Winner. Real Madrid 2016-2017.
 
Kufikia levels za Messi si kazi ndogo kwa yeyote yule ila Ode aliceleweshwa na Madrid. Sisi tumemrudisha kwenye reli. Tusipozingua kama timu na kocha akirekebisha mambo kadhaa, Ode atakuwa wa mot sana kwa miaka 5 au zaidi mbele
Possible, ila tatizo timu anacheza inaitwa Arsenal. Tim inakaa miaka 7 haijaingia champions league.

Ni mchezaji mzuri sana lakini. Ikitokea ameenda tim kubwa ni pottential baloon d'or winner
 
Kwani Partey ni namba ngapi isee! Sema kitu ambacho tunaweza kukubaliana ni kwamba kila mtu ana mtizamo wake juu ya football. Ila mara nyingi wewe umekuwa anti-partey. Sio kosa kwa vile ndio mtizamo wako

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Una picha yoyote ya Ødergaad akiwa na taji la UEFA??

Huyo mtoto 25 yrs kitu kafanikiwa maisha yake ya mpira kuingia top 4 tu ya epl.

Kama kuna mafanikio yoyote tunaomba uthibitisho wa picha.

Arteta na th tofauti yao ni nywele tu.
Usimfanishe Arteta na tapeli Wakiholanzi

7hag hakuna mchezaji yeyote pale manjesta aliyemtoa point A kwenda B

Unawaona hawa kwenye picha ni kazi ya Mikel

Na sasa anajiandaa kumleta fundi Ethan Nanweri, Fabio Vieira, n.k ,7 hag kapewa Sancho talent kaipeleka shimoni

7hag level zake kina David Moyes,Tony pulis ,Big Sam ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…