Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hatukutaka wapi wewe! umeshikilia 'hatukutaka' utafkiri wewe ndo ulikua sahihi.

Acha kujifanya uko sahihi muda wote. Sehemu mtu akizingua lazima asemwe.
Inawezekana vipi mtu awe sahihi muda wote?

Sisi hatujakataa kama Arteta ni kocha mzuri lakini haimaanishi kama hakosei.

Pep mwenyewe alizingua kwenye fainali ya UEFA 2021/22 kwa kucheza bila ya kiungo mkabaji huku akimuacha Rodri nje.. na ali admit.

Kwahiyo usijione muda wote wewe na Arteta wako mko sahihi.

Hata ikitokea Havertz akashinda hat-trick jumapili dhidi ya Man Utd haimaanishi kama alikua sahihi tangu mwanzo.

Huo muda anaopewa Kai angepewa ESR/Trossard/Fabio kwenye ile position tungekua tunaongea mambo mengine.
Hyu Fabio Vieira aliyekuwa anaonekana nyanya msimu ulopita....kila mchezaji anatakiwa kupewa nafasi ya kufanya kile mwalimu anachomuelekeza...Kai mechi tatu mnaanza kuja kupiga kelele hmm....Acheze msimu mzima apate rhythm kama alivyocheza Pepe na ma flop mengine ndo aanze kujajiwa ila kwa sasa arukeruke tu...ni mda wake huu
 
Kuna shabiki la Arsenal linapiga spana hatari humu safi sana. TunaKuwekea ulinzi endelea kupiga spana kutoa false hopes zote😀
 
Comment zako tu Mimi huwa natambua uwezo wako wa kufikiri ni mdogo

Unaweza kuniambia habari ya Chelsea kumtaka Smith na kufanya swap na makalio mudrky imetokea vyanzo gan,halafu uniambie hivyo vyanzo Kama ni udaku au lah

Kuna muda hatuwajibu sababu akili kubwa kujibu akili ndogo ni matumiz mabaya ya MB, haiwezekani niweke GB 30 nijibu comment zinazoonesha kiwango kidogo Cha uelewa Kama chako

Habari ya Smith Rowe kutakiwa Chelsea na swap ya makalio mudrky imesemwa had na vyanzo vya kuaminika kutoka Chelsea

Ila wewe kazi ya smartphone unajua ni kucheza game ,kubetia na kuingia Jf kuandika utumbo
Wabaki na mzigo wao....Ize tu....
 
Hatukutaka wapi wewe! umeshikilia 'hatukutaka' utafkiri wewe ndo ulikua sahihi.

Acha kujifanya uko sahihi muda wote. Sehemu mtu akizingua lazima asemwe.
Inawezekana vipi mtu awe sahihi muda wote?

Sisi hatujakataa kama Arteta ni kocha mzuri lakini haimaanishi kama hakosei.

Pep mwenyewe alizingua kwenye fainali ya UEFA 2021/22 kwa kucheza bila ya kiungo mkabaji huku akimuacha Rodri nje.. na ali admit.

Kwahiyo usijione muda wote wewe na Arteta wako mko sahihi.

Hata ikitokea Havertz akashinda hat-trick jumapili dhidi ya Man Utd haimaanishi kama alikua sahihi tangu mwanzo.

Huo muda anaopewa Kai angepewa ESR/Trossard/Fabio kwenye ile position tungekua tunaongea mambo mengine.
Nimeshikilia maana mmezid unafiki

Kai mechi 3 tu mnaleta chuki

Na ataendelea kucheza ili mkasirike zaidi

Uzuri Arsenal haisikilizagi makelele ya mashabiki uchwara historia ipo hivo
 
2022/23 2023/24

goals
expected goals
goals conceded
expected goals against
shots faced
possession
touches in opponents box
distance covered
sprints

How Arsenal’s start to the Premier League compares to last season.
 
Huna timu ya kupiga hata pass 5 kwa usahihi

Beki magwaya

Jumapili kipigo kinawahusu
Babu Evans yupo😀😀 nyie jpili kichapo kipo pale pale.

Kama nawaona Bruno na Rash wanavyofurahia kuona kiungo la boli Kai likianza na Partey kwenye RB ni mwendo wa kaunta kamba 😀
 
Ebu na Mimi nitie neno kwa Emil Smith Rowe

Arteta bila kupepesa macho anasema Rowe yupo kwenye plan zake, hii haizuii kusikiliza offer
Tena Bora offer itokea kwenye timu ambayo haipo Epl wanaweza wakalegezewa

Sasa offer itoke kwenye timu ya Epl, alafu wa jiji la London daaah sio chini ya £80m

Ipo hivi Rowe akibaki ni fresh zaidi ila ikija offer tamu anapigwa bei
Binafsi naombea deal li-collapse

Chelsea anataka swap deal, yani mudryk plus pesa ili amchukue Rowe
Sasa Kenge nadhani watakua wamekubali kuwa either Mudryk walipigwa au ha-fit kwenye mifumo yao
Hapo hapo, utajiuliza Sterling anafit vipi alafu mudryk anashindwa vipi?

Kama mudryk akija itakua mbadala sahihi zaidi kwa saka
Ana drive force nzuri, ana speed
Biashara ikifeli itakua Bora zaidi, tubaki na Rowe wetu

Kuna michuano mingi baada ya international break
Ligi, Uefa, FA, Carabao
Nelson, Fabio, Rowe,.. wote watapata muda wa kutosha

View attachment 2732727
Emile ana finishing nzuri na ball striking nzuri kumzidi Mudryk, Sterling, Kai, Nkunku, Noni, Jackson, Chukwuemeka na forwards zote za chelsea.

Usiwaone kenge wajinga kutaka kumuachia Mudi
 
Emile ana finishing nzuri na ball striking nzuri kumzidi Mudryk, Sterling, Kai, Nkunku, Noni, Jackson, Chukwuemeka na forwards zote za chelsea.

Usiwaone kenge wajinga kutaka kumuachia Mudi
Ndo maana tumesema hatutaki....wabaki na Mudi wao
 
Emile ana finishing nzuri na ball striking nzuri kumzidi Mudryk, Sterling, Kai, Nkunku, Noni, Jackson, Chukwuemeka na forwards zote za chelsea.

Usiwaone kenge wajinga kutaka kumuachia Mudi
Kuna mashabiki wa ukengeni wanakwambia mudiriki anajua

Smith Rowe Ni mchezaji wa €100m
 
Babu Evans yupo nyie jpili kichapo kipo pale pale.

Kama nawaona Bruno na Rash wanavyofurahia kuona kiungo la boli Kai likianza na Partey kwenye RB ni mwendo wa kaunta kamba
Bado huna timu ya kustahimili msako pale Emirates

Hata Fulham ni sababu Wana kipa anayefanya Sana save
 
Emile ana finishing nzuri na ball striking nzuri kumzidi Mudryk, Sterling, Kai, Nkunku, Noni, Jackson, Chukwuemeka na forwards zote za chelsea.

Usiwaone kenge wajinga kutaka kumuachia Mudi
Yeah ni kweli, Kuna kipindi Smith alikua supersub
Kila akiingia Kama sio goal Basi asist

Vipi Kenge wakiweka £100 plus mudryk mezani?
 
Ilifikia kipindi mtu anakwambia Fabio Vieira atolewe mkopo Mara Arteta alipoteza pesa kumsajili

Unamwambia mtu Fabio kafika Arsenal injury ,kakosa pre season , amekuwa Hawa fit Mara kwa Mara ,still ana namba G/A nzuri kuliko Anthony masebene,Sancho , mudrky ,

Anakomaa tu atolewe mkopo

Most Premier League expected assists (xA) per 90 mins minutes since the start of 2022/23* (Understat)

1. Kevin De Bruyne - 0.6 xA per 90
2. Bruno Fernandes - 0.49xA per 90
3. Fabio Vieira - 0.47xA per 90
4. Trent Alexander Arnold - 0.38xA per 90

*Min 450 mins
Ila Fabio now namuona mtu sana... mechi na city na mechi na fulham kaumwaga sana .
 
Comment zako tu Mimi huwa natambua uwezo wako wa kufikiri ni mdogo

Unaweza kuniambia habari ya Chelsea kumtaka Smith na kufanya swap na makalio mudrky imetokea vyanzo gan,halafu uniambie hivyo vyanzo Kama ni udaku au lah

Kuna muda hatuwajibu sababu akili kubwa kujibu akili ndogo ni matumiz mabaya ya MB, haiwezekani niweke GB 30 nijibu comment zinazoonesha kiwango kidogo Cha uelewa Kama chako

Habari ya Smith Rowe kutakiwa Chelsea na swap ya makalio mudrky imesemwa had na vyanzo vya kuaminika kutoka Chelsea

Ila wewe kazi ya smartphone unajua ni kucheza game ,kubetia na kuingia Jf kuandika utumbo
Ndio mana nikwambia uwe unachuja habar, we unajiona unaakili kubwa kumbe tunakuona mwehu tu. Jifunze kuchuja habari au unahis hili jukwaa wanaingia makondoo peke yake.
 
Ndio mana nikwambia uwe unachuja habar, we unajiona unaakili kubwa kumbe tunakuona mwehu tu. Jifunje kuchuja habari au unahis hili jukwaa wanaingia makondoo peke yake.
Mimi Nina vyanzo vya habari zaidi ya 100 ,na vipo grouped kuanzia Tier 1 had4

Nimekuuliza swali hujibu, habari ya Kenge kumtaka Smith kwa swap ya mudrky inapatikana vyanzo gan ili nikuhoji Kama hivo vyanzo ni udaku au lah

Kenge mlimtaka balogun nayo unabisha hata kenge wenzako walipost kule kwenu

Na Sasa nakupa mpya baada ya Arteta kugoma kumuuza Smith mehamia kwa Cole Palmer wa city
 
Ila Fabio now namuona mtu sana... mechi na city na mechi na fulham kaumwaga sana .
Soon anaingia first eleven

Arsenal ya Sasa inasajili talent then zinapikwa

Fabio Vieira kwasasa inabidi aanze alongside Øde

But itabid Partey au Rice mmoja aanzie bench

Inabidi Rice aanze kuzoea taratibu kukamata dimba ,Partey Hana maisha marefu
 
Yan huyu dogo kama namuona Benardo kwa mbali. Ameanza kunifurahisha mpaka najiuliza kwa nini aanzi.
 
Back
Top Bottom