Mbona tunafanya huu ujinga wa kukataa?
Chukua huyo flop Muddy na mshiko. Anakuja huku kwetu, anaimprove anakuwa balaa zito. Peleka ESR kule, anaflop haraka sana anapigwa bench. Next season tunaemchukua tena Kwa 5m. Tunajikuta tuna ESR, Muddy na mshiko. Arteta na Edu wataanza kuwa na akili lini
hamis77 ?
Smith yule dogo kwanza ni Gunner wakutupwa halafu ana uwezo mkubwa tu, yule dogo msimu juz alipiga goli 10 EPL ,
Msimu huu Kuna dalili akauwasha tena Moto
Sasa huyo mudrky tutamchukua labda mwakan kwa mkopo
So unaona had Sasa Hana hata goli 1
Kukubera walinunua kwa £62m ,Leo w kumtoa mkopo kwa tapeli Ten egg kwa £2m
Chelkenge nikwenda nao kwa akili, msimu ujao mudrky atatolewa mkopo ,mark my words
Last season wakati wanamchukua kukubera niwasema Hakuna anachomzidi Nuno Tavares Tena Tavares ni zaidi yahuyo Kukubela nikaweka na stats kabisa ,nilishambuliwa Sana had na mashabiki wa Arsenal wenzangu walikuwa hawamtaki Zinny wanamtaka huyo Kukubela
Nikawaweka stats wote Wana goli 1 moja na wote walifunga vs manjesta,Nuno anamzid Kukubela kwenye attacking
Nilionekana nazingua tu,
Leo Kiko wapi
Mashabiki wa manjesta ni mashahidi kocha wao toka awali niliwambia no tapeli tu ,sababu sajili zake ni za mchongo Basi na yeye atakuwa wa mchongo
Leo wanadai Hana Talent ID,Hana playing style, n.k mambo niliyoyasema miezi 8 iliyopita
Sasa hivi had Ambangile mshabiki wa unyumbuni anakubalina na Mimi
Soka Lina misingi yake na taratibu zake ,hizi kelele za Kai zimejengwa na chuki Wala sio kingine