Bobbyray
JF-Expert Member
- Dec 3, 2015
- 1,378
- 1,782
Ww chawa wa masingeli na wenzio mbona mnapelekwa kama makondoo hivi chelsea kwa akili yako wanaweza kumtoa Mudryk plus helaWao walijifanya wajanja kututibulia Hilo dili kipindi kile halafu leo wanataka tubadilishane nao...Kila mtu abaki na matatizo yake![]()



