Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,870
- 16,425
Arteta hana akili kihivyo,acha kumpa sifa asizostahili


dadamlamayao waambie hao, kuna watu humu wanamuona Arteta na na Masingeli ni miungu watu, yaani hawakosei na hata wakikosea hawataki watu wawakosoe, muda sio mrefu na wewe utaanza kuitwa mamluki humu kisa tu kumkosoa Arteta





