Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Alooo

Kina flano na Genge lake kazi wanayo
20230815_164836.jpg
 
Kuna Moderator tokea jana alikua anazungumzia kua anataka aliunganishe jukwaa la Cheusii kwenye ile thread ya picha za warembo wakali, nafikiri atakua ashafanya yake tayari.
Sasa hivi ukitaka kukutana na kina Mkohoti OllaChuga Oc lembu na watoto wengine wa tajiri miluzi nenda tu kwenye thread ya picha za warembo wakali utawakutia kule wanajadiliana kuhusu Kukulela.
 
Manchester yenyewe haswa utaiona 3october pale kwenye ukumbi wa UWT(Emirates stadium)
Hio ulioina jana sio Manchester bali ni kikundi tu cha wacheza dhumna.
Mshukuru mlibebwa Jana

Tunaposema kina sisi kuwa 7hag Hana Talent ID, mnatuita masingeli ,labda wakongwe wenu mtawaamini

Wakongwe wa manjesta waonya Sajili za kitapeli za kitapeli za 7+3hag

"It’s like Fellaini, it’s like buying Fellaini again..." 🫣

Rio Ferdinand has warned Erik ten Hag against signing Man Utd target Amadou Onana

mirror.co.uk/sport/football…
 
Manchester yenyewe haswa utaiona 3october pale kwenye ukumbi wa UWT(Emirates stadium)
Hio ulioina jana sio Manchester bali ni kikundi tu cha wacheza dhumna.
Kiuhalisia mpaka Sasa 7 hag katumia kusajili mchezaji mmoja tu , onana

Wengine wote kanyaboya
 
Aisee ila tuache utani sajili za hii week za Chelsea kama ziki click, watakuwa na team nzuri sana

Kiuongo Enzo,Caicedo,Lavia na winger ya Olise na ukichanganya ndo Kwanza bado ni Serengeti boys mwendo kama wote

Acha tuone tu kama wachezaji watafikia potential za vipaji vyao
 
Kufanya usajili mkubwa kama wa chelsea bado hakutaifanya iwe hatar itategemea na chemistry ya wachezaji itakua je ikikaa vzur watakuwa hatar maana kama msimu uliopita walikua na timu nzur ila lakn no chemistry ndo maana ukaona hali yao ilikua dhaifu
 
So sad Kwa timber. Ndiyo maisha. Tuzidi kumuombea apone mapema na vizuri. Tusiwasahau kina Nkunku na wengineo.

Mlitucheka sana kwa Nkunku sasa naona na ninyi mambo yamewageukia.

Sisi tuna fofana, Nkunku na wengine

Ninyi mna timber na Jesus. Tuwaombee wapone haraka sana ili tuweze kuwaenjoy.

Mpira ni Burudani
 
Kufanya usajili mkubwa kama wa chelsea bado hakutaifanya iwe hatar itategemea na chemistry ya wachezaji itakua je ikikaa vzur watakuwa hatar maana kama msimu uliopita walikua na timu nzur ila lakn no chemistry ndo maana ukaona hali yao ilikua dhaifu
Mkuu zingatia sentence niliyosema "kama sajili walizofanya week hii Zita click" kila mmoja wetu anajua ubora wa Enzo, kwahiyo kama bado Caicedo tu

Na kama hiyo haitoshi nimesema pia kama watafikia potential za vipaji vyao, kwahiyo me hapo nimeandika kila kitu ambacho wewe umekuja kuni quote
 
Mlitucheka sana kwa Nkunku sasa naona na ninyi mambo yamewageukia.

Sisi tuna fofana, Nkunku na wengine

Ninyi mna timber na Jesus. Tuwaombee wapone haraka sana ili tuweze kuwaenjoy.

Mpira ni Burudani
Mimi sijawahi kufurahia mchezaji akiumia hata awe wa timu pinzani. Zaidi Nitataka acheze chini ya kiwango akikutana na sisi tu ila ni huzuni kwangu mchezaji akiumia. Ukiachana na huzuni wanayopata wachezaji kwa kutokufanya kazi waliyoajiriwa kuifanya, pamoja na kuwa mikataba inawalinda hivyo maisha yao bado yanakua poa, ila mashabiki wa mpira wanakosa burudani ya wachezaji wazuri
 
Kabisa kama sisi tunavyokosa uondo wa Nkunku
 
Back
Top Bottom