mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,582
- 19,226
My opinion on what will happen in the next few weeks as a result of Timber’s injury:
- Tierney now gets sold for a decent fee along with Balogun.
- Arsenal go into the loan+option/obligation market for a defender.
- We also try to add depth in the RW position.
Kama tulivopigwa Nkunku au sioHuyu nae tumepgwa, hii nayo ni kati ya sajili ya kitapeli. Mtumishi hewa.
Nipe Takwimu za nketia kaanza game ngapi kati ya izo 30, na ana wastani wa kucheza dakika ngapi? Au unazani natunga tunga tu? Mbona unaleta takwimu nusu nusu maliza zote
Kufuatia jeraha la Timber, Arsenal itarudi sokoni.
Mwanzoni mwa dirisha, walijaribu kuleta beki mmoja wa kati .
Ayermic Laporte ni mchezaji ambaye Arsenal wanamuhitaji sana, lakini City wanasita kumuuza kwa Arsenal.
Arsenal wanaweza kurejea kwa Laporte au kutafuta beki wa pembeni kuchukua nafasi ya Timber.
Mazungumzo yatafanyika ndani na Arteta ili kuamua juu ya hatua zinazofuata.Icho ni kiazi tu chukueni hela mapema msije kujutia kwa baadae Amna beki hapo anabebwa na ubora wa Saliba tu.Wasaudia wanataka waweke pesa ndefu kwa Gabriel Magalhaes
Arsenal defender Gabriel is the latest big-name star to be targeted for a big-money move to Saudi Arabia.
[@johncrossmirror]
Sio kama Beki zenu za Man U😅😅😅...anatufaa sana hyo jamaa...Kila mtu apambane na matatizo yke...tusipangiane😅😅Icho ni kiazi tu chukueni hela mapema msije kujutia kwa baadae Amna beki hapo anabebwa na ubora wa Saliba tu.
JidanganyeIcho ni kiazi tu chukueni hela mapema msije kujutia kwa baadae Amna beki hapo anabebwa na ubora wa Saliba tu.
Thread ya Man United haifunguki na kwako au ni kwangu tu ?Icho ni kiazi tu chukueni hela mapema msije kujutia kwa baadae Amna beki hapo anabebwa na ubora wa Saliba tu.
Hata ya Chelsea haifungukiThread ya Man United haifunguki na kwako au ni kwangu tu ?
Nimeona haifunguki kwenye app toka asubuhiHata ya Chelsea haifunguki