Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Kevin de Bruyne will be out for “few months” as his injury is serious

◉ Guardiola: “Kevin will be out for some months, we will decide on surgery in the next days with medical staff”.

◉ “In that case, three or four months out”, Pep added.

Get well soon, @kevindebruyne

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Chelsea have activated £35m release clause for Michael Olise deal!

Talks will now proceed with player side to make deal happen — but intial green light from Olise already there

…Roméo Lavia and Olise, next for Chelsea

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Mlitucheka sana kwa Nkunku sasa naona na ninyi mambo yamewageukia.

Sisi tuna fofana, Nkunku na wengine

Ninyi mna timber na Jesus. Tuwaombee wapone haraka sana ili tuweze kuwaenjoy.

Mpira ni Burudani
Hakuna aliyecheka labda manjesta, kuumia kwa nkunku tulitoa pole
 
Declan Rice chose Arsenal over Bayern, Chelsea and Manchester City.

Kai Havertz chose Arsenal over Bayern Munich and Real Madrid.

Jurriën Timber chose Arsenal over Manchester United.

David Raya chose Arsenal over Bayern Munich.

When you're big, you're big
 
𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Kevin de Bruyne will be out for “few months” as his injury is serious

◉ Guardiola: “Kevin will be out for some months, we will decide on surgery in the next days with medical staff”.

◉ “In that case, three or four months out”, Pep added.

Get well soon, @kevindebruyne

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Hii habari imenihuzunisha sana aisee KDB ni mtu na nusu kwenye Epl.
 
Kabisa mkuu. Anatusumbua sana jamaa ila anajua na ukimkuta anacheza na mpinzani wako unajiruhusu kuenjoy kumuangalia.
Hii ni fursa ya kutest Ile theory kwamba Haaland anataabika bila KDB. Kama atawekwa mfukoni na mabeki wengine kama alivyowekwa mfukoni na Saliba. Ila Pep alivyo noma utashangaa kapata mfumo mpya chap na kuendelea kumfanya yule Jini aendelee kufunga magoli mengi
 
Declan Rice chose Arsenal over Bayern, Chelsea and Manchester City.

Kai Havertz chose Arsenal over Bayern Munich and Real Madrid.

Jurriën Timber chose Arsenal over Manchester United.

David Raya chose Arsenal over Bayern Munich.

When you're big, you're big

Caicedo chose Chelsea over liverpool
Lavia Chose chelsea over liverpool, Arsenal
Olise chose Chelsea over Man city, liverpool na sijui timu gani tena
 
Arsenal Kama kumchukua Lavia tungemchukua , deal lake Lili depend na some outgoings
 
Hii habari imenihuzunisha sana aisee KDB ni mtu na nusu kwenye Epl.
Tatizo hamnisikilizagi

Nilisema narudia Tena mwaka huu sajilini vizuri mbio za ubingwa zipo open

Mancity anaondokewa na Gundo, Mahrez, Bernado na Kuna tatizo la fitness ya KDB

Gundo KASEPA

Mahrez KASEPA

KDB fitness ndio hiyo mwakan anaenda Saudia

Karata ya mwisho ya Pep ni Bernado anampigia magoti asain mkataba mpya

So kind manjesta endeleeni kuokoteza sajili za mchongo ,Arsenal akikaa pale juu muanze kutuombea maombi mabaya
 
Declan Rice chose Arsenal over Bayern, Chelsea and Manchester City.

Kai Havertz chose Arsenal over Bayern Munich and Real Madrid.

Jurriën Timber chose Arsenal over Manchester United.

David Raya chose Arsenal over Bayern Munich.

When you're big, you're big
Caicedo chose Chelsea over arsenal and Liverpool.
 
Uliona wapi arsenal kapeleka bid kwa Brighton dirisha hili na Caicedo akasema haitaki Arsenal anaitaka Chelsea 😅😅😅...Liverkuku wachezaji weusi wameshaona nyny fadhila hamna hata mtu awatumikie vipi mfano mzuri kwa Mane...alikuwa punda kwny timu yle...Sasa mpango ni huuhuu...kuwakataa mwanzo mwsho...tafuteni wazungu wawafanyie kazi ngumu
 
Uliona wapi arsenal kapeleka bid kwa Brighton dirisha hili na Caicedo akasema haitaki Arsenal anaitaka Chelsea ...Liverkuku wachezaji weusi wameshaona nyny fadhila hamna hata mtu awatumikie vipi mfano mzuri kwa Mane...alikuwa punda kwny timu yle...Sasa mpango ni huuhuu...kuwakataa mwanzo mwsho...tafuteni wazungu wawafanyie kazi ngumu
Yah naona hiko kitu wachezaji weusi hawathaminiki pale Liverpool,mfano mzuri Mane

Had anaondoka analipwa £100kp week, wagonjwa wanaoshinda wodini wanalipwa £180+ per week
 
Kbisa....jamaa alikuwa ana mapenzi ya dhati na Liverpool...akawaomba wamboreshee mkataba kwa kumuongezea mshahara na haikuwa hela nyingi sana kama alokuwa analipwa Bayern Munchen lakini wapi wakaona hafai Bora waachane naye....Sasa ile inaweza kutumika kama reference kwa vilabu vingine vitakavyokuwa vinagombea mchezaji na jamaa....wakiambiwa pale Anfield kuna ubaguzi ni rahisi sana kwa mchezaji kushawishika na ndo haya yanayotokea

Huku kwa vilaza wenzako ndo kunakufaa

Robertson mashine ya kazi ya kupanda kushika analipwa kiasi gani???au na yy ni mwafrica??
 
Kbisa....jamaa alikuwa ana mapenzi ya dhati na Liverpool...akawaomba wamboreshee mkataba kwa kumuongezea mshahara na haikuwa hela nyingi sana kama alokuwa analipwa Bayern Munchen lakini wapi wakaona hafai Bora waachane naye....Sasa ile inaweza kutumika kama reference kwa vilabu vingine vitakavyokuwa vinagombea mchezaji na jamaa....wakiambiwa pale Anfield kuna ubaguzi ni rahisi sana kwa mchezaji kushawishika na ndo haya yanayotokea
Hizi habari mnapataga wapi watu wa arsenal???

Mane aliombwa abaki kwa mdomo wake akasema anataka akatafute challenge nyingine
 
Back
Top Bottom