Hamna timu hapa mkuu, hiki ni kikundi tu cha waimba kwaya, ndio maana humu kumejaa nyimbo za kusifu na kuabudu.Hii ni timu.???
Kuna report ya madaktari inasema hatakiwi kucheza mechi 2 kwa wiki ,siunajua huwa Kuna EPL, FA,UCL ,na CARABAOUgonjwa wa wiki 6 tu za mapumziko unapona utasemaje ameficha vipimo?
Kuna wachezaji wanasajiliwa na baada tu ya usajili anatakiwa akafanyiwe operation itayomuweka nje zaidi ya miezi 3, sembuse huyo ambae haitaji operation wala matibabu yoyote zaidi tu ya muda wa kupumzika.
Haya hiyo mbao yenu ambayo hamjaficha vipimo ila imecheza mechi moja tu ya ligi na kutakiwa kukaa nje msimu mzima ipi afadhali hapo?
Arsenal tungekuwa tunacheza Kama nyie ,pira makande ,humu kusingekalikaHamna timu hapa mkuu, hiki ni kikundi tu cha waimba kwaya, ndio maana humu kumejaa nyimbo za kusifu na kuabudu.
Hatakiwi kucheza mechi 2 kwa wiki kwa kipindi hiki cha wiki 6 alizoshauriwa na madaktari, baada ya hizo wiki 6 anaruhusiwa kucheza hata mara 3 kwa wiki.Kuna report ya madaktari inasema hatakiwi kucheza mechi 2 kwa wiki ,siunajua huwa Kuna EPL, FA,UCL ,na CARABAO
Kiuhalisia alitakiwa aachwe mrudishiwe hela ,7hag akasema vibali na Ada za uhamisho zimeshaingia kwa Atalanta ,
Wachunguz wa mambo wanasema kwakuwa wakala wa Hojlund ndio huyo huyo wa 7hag, Basi bila Shaka 7hag ana 10%yake
Kwa timu zinazojielewa Hojlund alitakiwa arudishwe Atalanta na hela mrudishiwe
Anthony masebene hawezi kutoa assist ya hivi
Burudani Kama hizi unazipata Emirates
Thus why kiingilio Cha pale ni kikubwa Sana
Huwezi kulipa kiingilio kikubwa ukashuhudie pira makande Kama la manjestaView attachment 2718102
UnapotoshaHatakiwi kucheza mechi 2 kwa wiki kwa kipindi hiki cha wiki 6 alizoshauriwa na madaktari, baada ya hizo wiki 6 anaruhusiwa kucheza hata mara 3 kwa wiki.
Man Utd kwa kuthamini afya za wachezaji wao katika hizo wiki 6 alizoshauriwa kucheza mara moja kwa wiki hatachezeshwa hata hio mara moja ili apone vizuri.
Punguza gubu Mc Masingeli.

anachezaje wodini, report inasema Kuna uwezekano akapata jeraha kubwa mbeleni ,hivo hatakiwa kucheza bampa to bampa Angefanya wanavyodai angeutafuta Mpira,lakin alifanya hivo akijua Nini anafanyaManyumbu wanasema eti Gabi hapo alikuwa anajipigia tu roulette Ili awatoke mabeki na alikuwa Hana Nia ya kutoa pasi
![]()
Hivi hili jina MC masingeli umelitoa wapiHatakiwi kucheza mechi 2 kwa wiki kwa kipindi hiki cha wiki 6 alizoshauriwa na madaktari, baada ya hizo wiki 6 anaruhusiwa kucheza hata mara 3 kwa wiki.
Man Utd kwa kuthamini afya za wachezaji wao katika hizo wiki 6 alizoshauriwa kucheza mara moja kwa wiki hatachezeshwa hata hio mara moja ili apone vizuri.
Punguza gubu Mc Masingeli.

Martinelli pia kasema hakua anatoa pasiManyumbu wanasema eti Gabi hapo alikuwa anajipigia tu roulette Ili awatoke mabeki na alikuwa Hana Nia ya kutoa pasi
![]()
mmenunua yai likiguswa2 linapasuka mmeshindwa kwenda kwa victor osimhen mkaona mje kuturingishia Halland wa mtumba ndo madhara yake ayoHatakiwi kucheza mechi 2 kwa wiki kwa kipindi hiki cha wiki 6 alizoshauriwa na madaktari, baada ya hizo wiki 6 anaruhusiwa kucheza hata mara 3 kwa wiki.
Man Utd kwa kuthamini afya za wachezaji wao katika hizo wiki 6 alizoshauriwa kucheza mara moja kwa wiki hatachezeshwa hata hio mara moja ili apone vizuri.
Punguza gubu Mc Masingeli.


ila 7hag sajili zake ni za ovyo2 kama mpira wake wa janjajanjaHivi hili jina MC masingeli umelitoa wapi
Na kwann unaniita hivo , huwa nacheka sana



hilo jina tulikupea baana ya wewe mwenyewe kumpachika jina Rw bora kabisa dunia kwa sasa Antony Matheus dos Santos na kumuita Masebene.😅😅😅....kwhyo ni Ubaya Ubaya tuhilo jina tulikupea baana ya wewe mwenyewe kumpachika jina Rw bora kabisa dunia kwa sasa Antony Matheus dos Santos na kumuita Masebene.
Kuna Moderator tokea jana alikua anazungumzia kua anataka aliunganishe jukwaa la Cheusii kwenye ile thread ya picha za warembo wakali, nafikiri atakua ashafanya yake tayari.Uzi wa Chelsea mpaka Sasa wameufunga
Kuna moderator lazima mshabiki wa Liverpool
Manchester yenyewe haswa utaiona 3october pale kwenye ukumbi wa UWT(Emirates stadium)Hivi Manchester ndio hihi au tuisubirie nyingine