Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hata ya Chelsea haifunguki
Mods wamesikia maoni ya wanasoka hizo threads ziende zinapohusika.
Ya Chelsea inaenda kuunganishwa na ile ya warembo wakali maana wao walichobaki kujivunia ni kuwa Wana pisi Kali.

Ya Manyumbu itahamishiwa Ile ya vichekesho au ile ya 'comment chochote upate like' maana wao kule ni maongezi tupu lakini mpira wa maana uwanjani hamna.
 
Wasaudia wanataka waweke pesa ndefu kwa Gabriel Magalhaes

Arsenal defender Gabriel is the latest big-name star to be targeted for a big-money move to Saudi Arabia.

[@johncrossmirror]
Magalasa ni version ya kiswahili ya Le captain Magwaya, chukueni pesa haraka sana tena wala msijiulize mara mbili mbili, huyo Magalasa msimu huu ana dalili zote za kufanya aliyoyafanya VVD msimu ulioisha pale Liverpuuuuh.
 
Kufuatia jeraha la Timber, Arsenal itarudi sokoni.

Mwanzoni mwa dirisha, walijaribu kuleta beki mmoja wa kati .

Ayermic Laporte ni mchezaji ambaye Arsenal wanamuhitaji sana, lakini City wanasita kumuuza kwa Arsenal.

Arsenal wanaweza kurejea kwa Laporte au kutafuta beki wa pembeni kuchukua nafasi ya Timber.

Mazungumzo yatafanyika ndani na Arteta ili kuamua juu ya hatua zinazofuata.

[@FabrizioRomano]
mlitucheka sana kwenye usajili wa Højlund baada ya MRI kuonesha ana stress response hotspot na kutakiwa kukaa nje kwa wiki sita.
Sajili za majeruhi ya kitapeli alianza Nkunku miezi 6, amekuja Timber miezi 9 wakati Straicker la magoli Rasmus Winther Højlund tulishaambiwa kabisa na Atalanta kabla ya usajili kua atahitaji miezi miwili ya mapumziko kutokana na jeraha lake.
 
Yule alifeli vipimo ,7hag alificha tu
 
Yule alifeli vipimo ,7hag alificha tu
Ugonjwa wa wiki 6 tu za mapumziko unapona utasemaje ameficha vipimo?
Kuna wachezaji wanasajiliwa na baada tu ya usajili anatakiwa akafanyiwe operation itayomuweka nje zaidi ya miezi 3, sembuse huyo ambae haitaji operation wala matibabu yoyote zaidi tu ya muda wa kupumzika.
Haya hiyo mbao yenu ambayo hamjaficha vipimo ila imecheza mechi moja tu ya ligi na kutakiwa kukaa nje msimu mzima ipi afadhali hapo?
 
Ugonjwa wa wiki 6 tu za mapumziko unapona kwenye mpira utasemaje ameficha vipimo?
Kuna wachezaji wanasajiliwa na baada tu ya usajili anatakiwa akafanyiwe operation itayomuweka nje zaidi ya miezi 3, sembuse huyo ambae hajitaji operation wala matibabu yoyote zaidi tu ya muda wa kupumzika.
Haya hiyo mbao yenu ambayo hamjaficha vipimo ila imecheza mechi moja tu ya ligi na kutakiwa kukaa nje msimu mzima ipi afadhali hapo?
c mlijiona wajanja kwenda kumnunua Halland wa mtumba
 
Back
Top Bottom