MR BINGO
JF-Expert Member
- Feb 12, 2016
- 1,210
- 2,595
Kbisa....jamaa alikuwa ana mapenzi ya dhati na Liverpool...akawaomba wamboreshee mkataba kwa kumuongezea mshahara na haikuwa hela nyingi sana kama alokuwa analipwa Bayern Munchen lakini wapi wakaona hafai Bora waachane naye....Sasa ile inaweza kutumika kama reference kwa vilabu vingine vitakavyokuwa vinagombea mchezaji na jamaa....wakiambiwa pale Anfield kuna ubaguzi ni rahisi sana kwa mchezaji kushawishika na ndo haya yanayotokea
View: https://youtube.com/shorts/M_QP5-p_6l4?feature=share