hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,662
- 27,520
Sasa unafanya nn humu unamlalamikia Nani , mbona unaumia kule jukwaan kwenu umeona unajiongeleshaNdo maana nakwambia ww hata kama ni mwehu hauwez kumwekea dhamana Kai.
Pa1 najua ww ni mwehu lkn sawa.
Uzur watu humu wanakujua jinsi gani ww ni tapeli na mlaghai unakua unawajaza wapumbav wenzio kama ww ujinga mwsh wa siku mambo yakiharibika unakimbia humu mbio nyng hauonekani.. Unabak kushinda kwny majukwaa ya vipodozi tu huko.
Wenzako wana Gunners wenye akil timamu wanajua kbs Kai ni mtu kwny game 30 anaweza cheza game 2 tu vzr zngne zote mkabak mnamtukana.
Walikuja kina ødegaard n.k wote waliambiwa hivo ,na mwisho midomo ilifungwa ,