Its his first match of the season bro, unajua ili mchezaji aweze kuflourish lazima atengeneze harmony na wachezaji wengine, ata Odegard wakati yuko Onloan kwetu he struggled his first few games.
Ila Arteta pia anakosea kumuanzisha Kai wakati Trossard yuko nje, mchezaji ambae ameshaprove kua effective na style yetu of play. Kai angekua anakuja sub taratibu mpaka azoee.
Kingine tu ni kwamba tunahitaji a natural goal scorer type za kina Toney kumreplace majeruhi Jesus.
Kilio chetu ni Vanpersie, Henry, Ian wright. Mtu mwenye njaa