arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,328
- 4,315
Ww ni nyumbu sio ndugu yetu hmu😅😅😅...Kila mtu ahangaike na matatizo yake
Mkuu kwa Kai tumepigwa acha tuseme ukweli
Mkuu kwa Kai tumepigwa acha tuseme ukweli
Arteta anatakiwa aache ufala kabisa last season alitucost kwa mambo kama haya na pia ashukuru Mungu yupo Arsenal angekuwa zile team za wasiovumilia season hii ingekuwa ndio mbivu na mbichiTrossard.katika mchezo wa karata huwa kuna karata ya kumaliza mchezo.wengine huita wildcard.
Kwa arsenal hii ni wazi kwa pale mbele trossard ni bora kuliko wachezaji wetu wengi.anapace,anadrible,anashoot with both legs,ana jicho la mpira,ana workrate kubwa,ana senior mentality na ana utulivu mkubwa.
Arteta anamuacha nje kama kura yake ya turufu yaani game changer.pale tempo ya mpira inaposhuka yeye anakuja kama nguvu mpya.
Kuna wakati mahrez alikuwa anaanzia nje mech kubwa,kdb huwa anaachwa nje kama plan b ya mech.
Mnaona tunamhitaji kudus ushajiuliza wanini wakati una saka na nelson?
Epl inahitaji plan A,plan B na plan C sometimes kwenye game moja.
Ila naungana na wengi humu hasa @Castr.we need a striker hasa for some games.
Hapana kwa leo kaharibu na asirudie tena hii formation itamcost hao ni Nottingham Forest may be aliona ni sahihi ila kwa formation hii vs Rashford Salah watatuua dk za mwanzo leo ameharibu hata page zote za Arsenal leo fans wameshinda but wanakosoa kwa kasiArteta tangu Pre season kasema hataki kutabirika...Kila mechi tunaweza kucheza mfumo tofauti tofauti kutokana na aina ya mechi....Sasa Hawa ndugu zetu wamevamia jukwaa na shombo nyiiiiingi as if tumefungwa....hii sumu mbaya![]()
Cheltako hivi unapata wapi ujasili wa kuongea mbele ya wanaumeHii game wanangu nott'forest walikuwa wanamaliza mapema ..sema tu waliruhusu magoli kizembe..kwa huu mwendo arse8 muanze kutafuta pa kutokea maana mutapigiwa boli kokoto na Kai ndio yuko mbele kosa kosa 20 goli moja 😂😂😂😂🙏
Watu wnajaribu kumtetea lakin hiki alichokifanya ndo alichokifanya mechi iliyopita na nottforest tukapoteza ubingwa... hii formation aitumie pale tu tunapokuwa na uhaba wa wachezaj either majeruh au vip... ila hiv hiv tia full mkoko... angetia tu nyuma wanne kule mbele angempumzisha mmoja wapo kati ya kai au nketiaHapana kwa leo kaharibu na asirudie tena hii formation itamcost hao ni Nottingham Forest may be aliona ni sahihi ila kwa formation hii vs Rashford Salah watatuua dk za mwanzo leo ameharibu hata page zote za Arsenal leo fans wameshinda but wanakosoa kwa kasi
Kitu alichokuwa anakifanya yule striker no. 9 wa Nottingham ndicho aseno tuliitaji ana hold Mpila vizur Mpaka sapoti inapofika si haba nadhani ni Castr kama nitakuwa sijakosea alisema Lukaku angefaa ila tukachukulia utani![]()
Upo home una ball possession 85 kwa 15 on targets za kutosha then Nottingham Forest anaonekana kama alikuwa ndio anataka 3 pointsWatu wnajaribu kumtetea lakin hiki alichokifanya ndo alichokifanya mechi iliyopita na nottforest tukapoteza ubingwa... hii formation aitumie pale tu tunapokuwa na uhaba wa wachezaj either majeruh au vip... ila hiv hiv tia full mkoko... angetia tu nyuma wanne kule mbele angempumzisha mmoja wapo kati ya kai au nketia
leo ameharibu football
️ haijaribiwi kwenye premier league kulikuwa na friendly games za kutosha huko angejaribu hizo formationArsenal inahitaji MSHAMBULIAJI ASAP kwa chance created zetu zile tulistahili 5 goals kabisa Nketiah ni mbahatishaji na Arteta kampenda hayaKitu alichokuwa anakifanya yule striker no. 9 wa Nottingham ndicho aseno tuliitaji ana hold Mpila vizur Mpaka sapoti inapofika si haba nadhani ni Castr kama nitakuwa sijakosea alisema Lukaku angefaa ila tukachukulia utani![]()
Kipindi Chelsea yupo na Antonio Conte msimu WA kwanza alikuwa anatumia 3-4-3....alisumbua sana Ligi hdi akabeba kombe....msimu WA pili watu wakamjulia na huo mfumo wake wakawa wanabutuliwa...sisi last season tumecheza majority ya matches zetu 4-3-3...kuna kipindi watu wakatuzoea kabisa....Sasa Mimi anachokifanya namuunga mkono kabisa....be unpredictable...halafu mnalalama kwni hao Nottingham wamepata chances ngapi mechi nzima....mnakuwa wepesi sana kulaumu....Arteta atumie mifumo tofauti kutokana na aina ya mechi....with Jesus coming back tutakuwa comfortable zaidi kwenda mbele....hvyo sioni shidaArteta anatakiwa aache ufala kabisa last season alitucost kwa mambo kama haya na pia ashukuru Mungu yupo Arsenal angekuwa zile team za wasiovumilia season hii ingekuwa ndio mbivu na mbichi
Ukisoma uchambuzi wa George ambangile instagram utaelewa leo Mikel kafanya nini ambacho hatukufanya last game ikatucost.Mtu ukimuuliza leo Arsenal imecheza mfumo gani hawezi hata kukujibu
Martinel ni mchezaji wa kawaida,umena kafanya nini? au ni ile chenga aliyokuwa anajaribu kuifanya mpira ukamkimbia ukaenda kwa mfungaji goli?!!
Leo Arsenal ball possession 82 kwa 18 Shorts za kutosha but rudisha akili yako kwa jicho la 3 matokeo ya leo umeyaonaje?and also Arsenal huwa tuna katabia cha kuruhusu sana rivals kuja kwetu golini(naona kama hili zoezi la kuhandle pressure kama limefeli)imagine kwa mpira wa leo Arsenal fans dk za mwisho ilikuwa mtihani na pia visit page za Arsenal leo kisha kaangalie comments Arteta aache mambo ya kujaribu ni nonsense ukifanya hivi tena premier league ambayo kila mechi ni ushindi si alienda USA?why hakujaribu hizo formation?muda si alikuwa nao?Kipindi Chelsea yupo na Antonio Conte msimu WA kwanza alikuwa anatumia 3-4-3....alisumbua sana Ligi hdi akabeba kombe....msimu WA pili watu wakamjulia na huo mfumo wake wakawa wanabutuliwa...sisi last season tumecheza majority ya matches zetu 4-3-3...kuna kipindi watu wakatuzoea kabisa....Sasa Mimi anachokifanya namuunga mkono kabisa....be unpredictable...halafu mnalalama kwni hao Nottingham wamepata chances ngapi mechi nzima....mnakuwa wepesi sana kulaumu....Arteta atumie mifumo tofauti kutokana na aina ya mechi....with Jesus coming back tutakuwa comfortable zaidi kwenda mbele....hvyo sioni shida
Toka pre season alisema atakuwa unpredictableKipindi Chelsea yupo na Antonio Conte msimu WA kwanza alikuwa anatumia 3-4-3....alisumbua sana Ligi hdi akabeba kombe....msimu WA pili watu wakamjulia na huo mfumo wake wakawa wanabutuliwa...sisi last season tumecheza majority ya matches zetu 4-3-3...kuna kipindi watu wakatuzoea kabisa....Sasa Mimi anachokifanya namuunga mkono kabisa....be unpredictable...halafu mnalalama kwni hao Nottingham wamepata chances ngapi mechi nzima....mnakuwa wepesi sana kulaumu....Arteta atumie mifumo tofauti kutokana na aina ya mechi....with Jesus coming back tutakuwa comfortable zaidi kwenda mbele....hvyo sioni shida
Yes ila siyo finished articleAwoniyi ni striker mzuri
Kubalini tu mmepgwa, mbona sisi tumekubali kwa Nkunku tumepgwa.hapa kwa timber umejichanganya
Watu wanaongea kimhemuko tu...mi nimeangalia mpira dk zte 90....watu wanasema tumeshambuliwa sijui mara nn....mwingine anasema tulikuwa tunaomba mechi iishe....Sasa Kila nikiangalia sioni wapi hasa tuliomba mechi iishe....be unpredictable...hii ndo slogan ya msimu huu....kuna siku tutaanza bila golikipa golini na mabeki hakuna...ni viungo tu na washambuliaji dk zte 90 mpk mpira unaisha🤣🤣🤣Toka pre season alisema atakuwa unpredictable
Leo kacheza 3 diamond 3
Muulize anayelalamika huo mfumo anaufahamu vipi
Nitauleta mkuuUkisoma uchambuzi wa George ambangile instagram utaelewa leo Mikel kafanya nini ambacho hatukufanya last game ikatucost.
Nimeshindwa tu kuucopy uchambuzi wake.