arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,357
- 4,402
Ni kweli kabisa mkuu sisi na nyny ni mbingu na ardhi ndo maana nyie ni mabingwa sisi ni runners up...ila ufunguzi wa ligi tumewatoa kamasi....match week 8 tunakutana tena....mpira utachezwa...ligi ndo inaenda kuchangamka kwhyo mwenye pumzi atakaa pale juu....ize tu😅Uzur mm najua ww unajua ukwl mm na ww ni mbingu na ardhi[emoji23].. Ni bas tu kwa sbb ya ushabik mna dhan lbd msimu huu ilo litabadilika.
Kabla ya msimu kuanza nilisema ivi kama kuna shabik wa Arsenal anahis msimu huu team yake itabadilka na kua serious na makombe ya maana bas shabik huyo anahitaj maombi kwa mwamposa hrk sana.