Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Brentford walikuwa wanamtakaga Sana Nketiah kipind fulani

Tunaweza kufanya nao biashara kuimarisha mahusihano
 
Maoni yangu;

Kama ikitokea tukawasajili RW-KUDUS na CM-DOUGLAUS LUIZ kwaajili ya kucheza LCM nadhani kwa dirisha hili inatosha, tuingie vitani kupambana tu.

Kisha January, tukamchukue IVAN TONEY na RCB mmoja matata biashara inakwisha alafu twende kwenye mechi yoyote ile.

Labda Mungu awe hajapenda tu.
 
After a meeting with Charlie Patino last week, Mikel Arteta has managed to persuade the 19-year-old to stay on at Arsenal beyond this season.

Arteta showed the player the plan he has for his route into the first-team with Patino now happy to return to Arsenal next season.

He will move to Swansea City on a season-long loan instead, as per @FabrizioRomano.
 
Mkuu unasema humkubali martineli???

Mi naona martineli ndo engine ya asenal pale mbele asee.

Ukiangalia kasi alokua nayo, jinsi anavyosumbua beki za wapinzani kule mbele dah

Martinel kwa mtazamo wangu ni muhimu sanaaa kwa arsenal !!!
Martinel ni mchezaji wa kawaida sana sijui huwa mnaona nini kwake? Kwa sasa hamuwezi kunielewa.
kUna kipindi wakati liva ni ya moto Trent nae hashikiki, ila kuna jamaa yangu wa liva nikamwambia trent ni tobo la mashambulizi akabisha na kubisha.

Ars888 mna wachezaji kama watano tu basiii Saka, Ode, Partey,saliba na Trosad. waliobaki ni wazururaji uwanjani.
 
Wakawaida kufananisha na Mchezaji wako yupi?

Nelli yupo kwenye mawinga Bora duniani
 
Chukueni hii
Moja kati ya tofauti ya Rambo na Raya

Mipira ya mbali accuracy ya Rambo ni ndogo sana, hii inapelekea kum-term kama mbutuaji

Kwa upande wa Raya mipira ya mbali, Kama anatumia pima maji. Pale pale ulipo inakufikia, au anakusogeze kwa mbele kazi ya saka/martinel itakua ni kutimua mbio tu kuelekea kufunga
Nimekumbuka msimu wa kwanza wa KT, jama alikuwa anamwaga maji kutoka pembeni kule kama anatembea na jagi. Af yanafika bila kumwagika.
 
Dirisha hili tukiongeza LCM/RW kwangu itakua 10/10

CF tunaweza leta January au next summer magoli kwetu sio ishu
20230806_204736.jpg
 
Brentford Kwa miaka mingi sana imekuwa community project yetu. Mpaka tukawa tuna tamaduni ya kucheza nao preseason friendlies na huenda kuchangia maendeleo yao. Arsenal tunafurahi sana wamepanda mpaka kwenye ligi kuu
Kweli asee Jamaa tuna mahusihano nao mazuri, ila inasemekanaga yule kocha wao Frank ni arsenal fan
 
Chukueni hii
Moja kati ya tofauti ya Rambo na Raya

Mipira ya mbali accuracy ya Rambo ni ndogo sana, hii inapelekea kum-term kama mbutuaji

Kwa upande wa Raya mipira ya mbali, Kama anatumia pima maji. Pale pale ulipo inakufikia, au anakusogeze kwa mbele kazi ya saka/martinel itakua ni kutimua mbio tu kuelekea kufunga
Anaenda kutupa option hasa tukicheza na Kai Kama false 9 kumpigia mipira mirefu na kufanya transition ya haraka

Pia kumpa mipira Martinelli kwenye kufanya kaunta attack
 
Understand David Raya will extend his contract at Brentford before completing £3m loan move to #AFC. Arsenal will then have the option to buy for £27m, no obligation. Just like with Odegaard 2.5 years ago, Arsenal keen to try before they buy with Raya.

@ArsenalFC_fl
Pia nimependa huu mkataba ulivyokaa Kwa Raya na career yake. Anakuja kupambana na Ramsdale kwa no. 1 spot rasmi huku yeye akiwa ameshajiestablish kama one of the best keepers in the league ila anajua Ramsdale naye si haba. Competition itakuwa kali. Asipoishikilia no.1 vya kutosha anaweza kurudi Brentford aendelee kuwa main no.1 na aendelee kupambania no.1 spot ya Spain.
 
Kusoma maoni ya wengine ili kutanua uelewa siyo dhambi shida ni inapotokea unachokisoma haukichanganyi na unachokijua na ulichokiona na kukipima na uelewa wako.

Kuna dogo yupo Twitter alianza kwa kumkataa Martinelli alivyotoka hapo akaenda kwa Odegaard kisha akahamia kwa Partey na hajamuachia Partey hadi leo.

Nisiwe muongo washkaji wote waliokua wanasema Partey hafai aondoke hoja walizokua wanatoa walikua wanazitoa kwa huyo dogo anaitwa Nonewthing.

Alivyokuja Jorginho wakasema huyu Partey tulisema hafai na ndiyo anaondoka hivyo ngoja Rice aje. I was quick kusema Rice akija hapa ili kukabidhiwa dimba tutaisha, acha aje Zubimendi haitachukua muda yeye kuadopt.

Nikabishiwa. Rice akaja, nikarudi hapa kusema Partey akiondoka kisa Rice yupo tutakua tunacheza makida makida. Well Rice played and proved what I said, juzi Rice akasifiwa kwakua alisprint kufanya recovery, thats a 100M price tag, unajua nani mwingine alikua anasprint kila mechi dk zote 90? F.u.c.king Torreira.

How much tulimnunua? I hope you see my point. Tumelipa 100M ili tuwe na mrithi LCM? Fvcking LCM? With 100M wewe unatakiwa uwe umenunua orchestrator hapo dimbani, ataamua tempo na rhythm ya timu not a fvcking LCM.

Rice atasubiriwa aadopt
Oyaaa mbona hii hoja tunapita kama hatuiona hakuna cha kungangia hapa?
 
Martinel ni mchezaji wa kawaida sana sijui huwa mnaona nini kwake? Kwa sasa hamuwezi kunielewa.
kUna kipindi wakati liva ni ya moto Trent nae hashikiki, ila kuna jamaa yangu wa liva nikamwambia trent ni tobo la mashambulizi akabisha na kubisha.

Ars888 mna wachezaji kama watano tu basiii Saka, Ode, Partey,saliba na Trosad. waliobaki ni wazururaji uwanjani.
Zinchenko ni mzururaji??
 
Una safari ndefu sana ya kujifunza mpira
 
Back
Top Bottom