mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,702
- 19,561
Na ukalia kabisa, mshambuliaji aliepitwa na kiungo mkabaji wa timu yake kwa magoliLabda wachezaji wa Arsenyau wamuumize kwa makusudi.
Hili jini magoli linajua mpaka linajua tena, asubuhi nilikua naliangalia likiwa linacheza pale Carrington nikajikuta nabubujikwa na machozi ya furaha baada ya kumuona marehemu Edson Arantes do Nasciment (Pele) katika version ya kizungu.
[emoji1][emoji1][emoji1]