

️Brentford rejected Tottenham’s £40M bid for David Raya and then accepted Arsenal’s £25M +5add ons bid…![]()
Ningependa Edu aanze harakati mapema za kumfatilia Kama walivyofanya kwa Rice ile mech ya kwanza Emirates,Hli ni tawi letu....bado Ivan Toney next window kijana wetu aje kuwa CF ya uhakika Sasa pale Emirates....Ubaya Ubaya tu
Yaan mnamtaka Ivan toney ,mzee wa kubet ,atakuwa anaingia uwanjan kashaiua arsenal kwenye bettingHli ni tawi letu....bado Ivan Toney next window kijana wetu aje kuwa CF ya uhakika Sasa pale Emirates....Ubaya Ubaya tu


,haki mtakuwa hamjielewiSimu moja tu ya Arteta....anakaribishwa na dinner moja matata huku watu wakiwa na I Pads wanamuonesha namna watakavyomtumia wakimchukua....baada ya hapo kinachofata ni kimya kimya mnasikia Bid imepelekwa watu wanakaa mezani wanamalizia biasharaNingependa Edu aanze harakati mapema za kumfatilia Kama walivyofanya kwa Rice ile mech ya kwanza Emirates,
Kuna shida kwni mkuu😅😅😅...Kila mtu apambane na matatizo yake....Dunia hii Ina matatizo mengi sana ya kupambania😅😅Yaan mnamtaka Ivan toney ,mzee wa kubet ,atakuwa anaingia uwanjan kashaiua arsenal kwenye betting,haki mtakuwa hamjielewi
Dogo kapendeza sana na kombe...hongereni the Citizens😅😅😅El wey >all arsenal career history....like button .....View attachment 2712139
Rambo kazi anayo aiseeDavid Raya posted the highest percentage of shots saved from attempts on target faced of any goalkeeper in the 2022-23 Premier League - 77%. Aaron Ramsdale saved 69% of shots on target faced.View attachment 2712138






Yaan Arteta anatafuta uchonganishi aiseeRambo kazi anayo aisee![]()
Mwenye harakati kama za Lukaku...Big No....Lukaku Hana akili...tena kama sasahv ndo hamna kitu kabisa....big flop lile




Wakimalizia na ule upande wa Saka kule basi watukabidhi tu kombe...tusisumbuane kukimbizana mechi 38 wakati tunajua kitakachotokea🤣🤣🤣Yaan Arteta anatafuta uchonganishi aisee
Ila naamini Raya kaja kaahidiwa nafasi
Lazima atakuwa kaambiwa atadaka UCL na FA ,
EPL amuachie Ramsdale