Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kila nikivisit kwenye page ya Fabrizio naishia kucheka kwa sauti CHELSEA SET TO SIGN [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata kama Bilionea has money [emoji383] but sio kwa kuzitawanya kwa average players
Yan wanazoa zoa wachezaji wengi sana toka dirisha dogo wanazoa tu
 
[emoji599][emoji837][emoji836]

David Raya's move to #AFC should be finalised in time for Saturday. My understanding is that, while it's an initial loan (as reported by @TheAthleticFC), the expectation is absolutely that it will become permanent. £30m package. Deal structure is mainly due to payment timings etc

Telegraph
 
Wakawaida kufananisha na Mchezaji wako yupi?

Nelli yupo kwenye mawinga Bora duniani
Kwani kuwa wakawaida ni lazima umfananishe na mchezaji wa chelsea?? Winga bora wapi? kanakimbia kimbia tu uwanjani na mpira kama kuku aliekatwa shingo.
 
Aweke wachezaji wake wa Chelsea wanaoweza kuja kwny timu yetu wakaanza starting 11....kuna vitu vinachekesha sana....yle Mudryk kwa Trossard tu haingiii...ndo uje kumfananisha na Martinelli🤣🤣🤣
Tatizo lenu nyie kondoo wa Arteta hampendi kuambiwa ukweli.
Halafu mnajiaminisha mna timu bora dunia hakuna wa kuifananisha nayo, yaani kila mchezaji wa timu nyingine haingii kwenye 1st eleven ya Asre88.
NYie makondoo nahis kuna tube light kichwani imeisha choke.
 
[emoji599]During negotiations for David Raya, Brentford asked Arsenal about the possibility of signing Eddie Nketiah this summer.

The two clubs have a good working relationship but Arsenal will stand firm on their £35m/£40m asking price.
 
Kwani kuwa wakawaida ni lazima umfananishe na mchezaji wa chelsea?? Winga bora wapi? kanakimbia kimbia tu uwanjani na mpira kama kuku aliekatwa shingo.
15 goals EPL unasema anakimbiakimbia

Ndio Maana huwa anawabutua
20230810_131844.jpg
 
🤣🤣🤣🤣....anawafanyaje mkuu...unabishana na tawi letu...hyu huwa anaongeaongea tu Ili mradi...yy anasema sisi tunajiona tuna bonge la timu kuliko yyte duniani...eti hakuna timu wachezaji wake wanaweza kuanza kwny kikosi chetu....sisi tulichosema alete lile genge lake la wakimbiaji then tuone ni yupi ana ubavu wa kuanza kwny timu yetu...mwsho wa siku anaanza kutoa povu😅😅😅
15 goals EPL unasema anakimbiakimbia

Ndio Maana huwa anawabutua View attachment 2713741
....
 
[emoji599][emoji599]BREAKING - Monaco will come again for Balogun

Their previous bid of 40m euros was rejected by Arsenal

(@FabriceHawkins Tier 1 )
20230806_123343.jpg
 
Martinel ni mchezaji wa kawaida sana sijui huwa mnaona nini kwake? Kwa sasa hamuwezi kunielewa.
kUna kipindi wakati liva ni ya moto Trent nae hashikiki, ila kuna jamaa yangu wa liva nikamwambia trent ni tobo la mashambulizi akabisha na kubisha.

Ars888 mna wachezaji kama watano tu basiii Saka, Ode, Partey,saliba na Trosad. waliobaki ni wazururaji uwanjani.
Ni kweli martinelli kwangu si mchezaji wa maajaaaabu.
 
[emoji599] Inter Milan have withdrawn from the race for Folarin Balogun. The decision has already been communicated to Arsenal and the player. Reports, @AlfredoPedulla.
 
[emoji599] Inter Milan have withdrawn from the race for Folarin Balogun. The decision has already been communicated to Arsenal and the player. Reports, @AlfredoPedulla.
Monaco wanarudi na ofa nzuri ,acha inter wakimbie ,wanapenda kitonga sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom