hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,282
- 26,677
Yah true , Successor wa Partey #6 ni Rice ,Arsenal tunahitaji LCM sababu ipo wazi harvertz atatumika kama Striker, tetesi za usajili wa douglas Luiz zinaonesha kuwa ndiye alternative ya Moses Caicedo, maana yake Arsenal bado wanamuhitaji Caicedo tatizo bei yake ipo juu sana, in the long run inavyoonekana Declan Rice atarudi kama #6 na ikiwa Luiz atasajiliwa basi atatumika kama LCM.
Nimeona pia wanasema Rice anacheza hayupo fit kabisa, watu wakaribu wanasema bado hatujamuona Rice akiwa fit
, Lakin pia Rice ni versatile player ambaye unaweza kumbadilisha akacheza LCM , kwa majukumu tofauti na LCM ya Kai ,
LCM ya Rice ni kwa mech Kama ile ya City,
Anakuwa adrop had kwenye backline ,tofaut na LCM ya Kai androp Zaid kwenye double pivot
Rice alianza career yake Kama CB, hata Wenger alimtabiria makubwa baada yakumuona katika nafas ya CB
️ 
️ |
Baada ya kukutana na Mikel Arteta, Charlie Patino ameamua kwamba mustakabali wake utabaki Arsenal na kwamba yuko tayari kuhamia kwa mkopo tena, kulingana na
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 19 anatazamiwa kujiunga na Swansea kwa mkopo kabla ya kurejea Gunners msimu ujao.
Habari nzuri