hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,661
- 27,520
Kumbe dili limebadilishwa ,awali Arsenal walishakubali kulipa £30m ,naona wakaona hawatasajili nafasi nyingine sababu ya FFP , hivo Brentford wakarahisisha mambo ndio imekuwa loan ya £3m+ option to buy kwa £27m akifikisha namba fulan za kuchezaWakati mwingine mkiishi vzuri na mchezaji kuna favour mnampa kwny uhamisho wake....ndo haya yalotokea
Hii inaonesha tupo bado sokon kwa sajili 1 au 2