computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,039
Nakubaliana na wewe kwenye hili,hakuna team yoyote duniani ya sasa hivi atamfunga pep kwa kumiliki mpiraNa hii ni akili ya kawaida tu.
Aina moja ya mpira haiwezi kukupa mafanikio kila siku. hamis77 anakataa kwamba timu pinzani haiwezi kukuachia mpira ila anasahau hata Arsenal tushamuachia Brighton mpira sisi tukatafuta magoli.
Na hata Europa tuliwahi cheza kwa mtindo huo.
Game dhidi ya City anatuwekea mabeki 3 nyuma tukamiliki mpira. Next game mpira akamiliki na akatunyoosha vile vile