Acha Uchawi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unatangaza amani huku umeficha panga.Dah game saa 12 jioni.kipara kumkabili inaleta mawazo sana.jamaa ni tactical genius,ana quality squad kila eneo,ana waarabu wanamwaga hela kama hawana akili, yaaani mpuuzi ana kila kitu.
Hili kombe la EPL lisipobebwa na timu nyingine mwaka huu maaana yake jamaa ndani ya misimu saba atakuwa kachukua mara sita.duh huu udhalilishaji. Ila arsenal we are coming at your rescue.tutamsimamisha ili kuku wa maziwa(man u),liverpool,chelshiit na wengine mkae kwa amani.
Hahaa huyu mpuuzi guadiola akichukua tena msimu huu nashauri 7hag,pochetino,klop,arteta na emery wakae nae chini wamwambie sio ugomvi na kama vip wafanye donation wampe mzigo aende ligi ya italy au ufaransa mpuuzi yule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Anyway mark my words leo tunaishangaza dunia.we gona possiblelize the impossibility.