Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Brighton alituzidi asee ,ule mpira wa Brighton Kama huna mbinu thabiti wanakubatua

Ile mech ya pale Amex tuligawana vipind,

Brighton Wana buildup Yao hatari Sana ,klopp alicheza nao mechi mbili na Di zerbi, zote alizidiwa kwa kuwekwa nyuma na kipigo juu

Kuna mechi huwa tunashindwa ku control kabisa ,sio kwamba tunamuachia mpinzani
Ndo hapo tunaposema ukizidiwa huna haja ya kushindana possession.

Chukua mpira nenda nao mbele.

Sisi City katuzidi hatuna haja ya kushindana nao possession. Chukua mpira nenda nao mbele
 
Partey, rice, odegard
Labda tuamke vibaya au game itukatae pamoja na visa vya marefa

Mbavu timber, mbavu white

Wings; saka na martinel

Una mkemia mkuu trossad, hao wajinga wajipange sana
Huu msimu tutaoneshana makali

Kwa timu hiyo halafu tukae nyuma tuvizie kaunta ,ah wapi ni toe to toe
 
Huu msimu tutaoneshana makali

Kwa timu hiyo halafu tukae nyuma tuvizie kaunta ,ah wapi ni toe to toe
Msimu uliopita majerui dakika za mwishoni

Msimu huu wote wamerudi wakiwa vyema na usajiri wa kishindo

Maji wataita mma
 
Umejiuliza kwann ulishinda energy drink cup na haupo Wembley muda huu?

Kaa kwa kutulia ,


Pep and Arteta both justifying Arsenal's presence today in the Community Shield programme:

Pep: "The reason Arsenal are here today is because they did so well last season. They pushed us so hard."

Arteta: “This is a match which recognises two clubs who had a good year." #mcfc
Ukweli unaouma, wamepiga kwenye mshono [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Msimu uliopita majerui dakika za mwishoni

Msimu huu wote wamerudi wakiwa vyema na usajiri wa kishindo

Maji wataita mma
Mambo yakupaki Basi aachiwe nyumbu ya Dutch David Moyes Erik 7 hag
 
Hakuna cha stats hapo wewe chukua man city to win & over 1.5 . Weka hela tuliaa hio ni sure guaranteed [emoji23][emoji23][emoji23] .
Hizi kelele za “false hopers “ zisikudanganye hawa ni wapiga kelele tu kama chura lakini tembo maji lazima annywe.
Ingekuwa Liverpool, Newcastle na man utd hizi ndo timu ambazo unaweza kuanza kuangalia stats mzee lakini si hawa wanajiita title chaser then unaenda kula chuma za kutosha gemu zote 2. Cheki tu highlights man city alivyokutana na Arsenal then angalia na hizo timu nyingine nilizokutajia hapo juu.
[emoji23][emoji23][emoji23] Mwanangu Labyrinth 84 unapotea sana humu mkuu, mimi hua nazikubali sana nondo zako na zile evidence unazowapeaga humu hawa Kondoo, wanapokosa hoja ya kukujibu wanakua wakali balaa.
Hawa wahuni hawatakiwi kupumzishwa humu inatakiwa kila baada ya masaa mawili wakumbushwe kua wao ni mid table team.
 
IMG_4070.jpg
 
[emoji599][emoji378]𝐉𝐔𝐒𝐓 𝐈𝐍: 𝐃𝐀𝐕𝐈𝐃 𝐑𝐀𝐘𝐀:

David Raya is joining Arsenal![emoji3578]

Within our continued research of the current transfer window.

@PurplePanel confirms that Arsenal and Brentford have reached an agreement over the transfer of David Raya.

Understand that the fee will be around the region of £30M including add–ons.

As confirmed, Raya had a preference for joining Arsenal over Bayern, as the player wants to stay in the vicinity of London.

Personal terms have already been agreed upon.

Checkmate[emoji3528]

#AFC
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Mwanangu Labyrinth 84 unapotea sana humu mkuu, mimi hua nazikubali sana nondo zako na zile evidence unazowapeaga humu hawa Kondoo, wanapokosa hoja ya kukujibu wanakua wakali balaa.
Hawa wahuni hawatakiwi kupumzishwa humu inatakiwa kila baada ya masaa mawili wakumbushwe kua wao ni mid table team.
Mwaka huu kazi unayo

Mamluki wanangoja tufungwe waje, Tukishinda wanalala mbele

Mapema Leo mshaanza kumshangilia bwana enu city , ikifika January timu zenu hoi , mnahamia city ,hamna misimamo kabisa
20230806_152851.jpg
 
Huo ndio ukweli, ni swala la muda kuanza kutoa mipapaso
Hio mipapaso mbona kama mnaenda kupapaswa nyinyi, stricker Haaland halafu beki mnamuwekea Bichwa la Bata ndio amdhibiti[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Arsenal leo mjikaze. Kataeni utumwa
Tulikuwa tunajenga timu , Mancity ni kibonde wetu Kama Chelsea tu ,alitusumbua Sana kipind Cha Mourinho, mwisho karudi kuwa mteja muaminifu
20230806_133821.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom