Decline rice.
Kwangu mimi siamini kama jamaa ni gifted sana technically.kama unamuangalia rice kwa perspective ya david silva,benado silva,locatell,zubimend,carzola,rosisky ,gundo kroose,camavinga nk ni rahisi kuona tumepigwa.
Hivi ushawahi kujiuliza kwanini
Liverpool wana hernderson na klop anapambana mara kadhaa kumbakisha babu milner?
Chelsea bora ilikuwa na Terry na lampard
Man city imemleta jack glealish,stones na sasa kuna foden.hawa wote technically sio wachezaji wa guardiola.
Hao wote wana sifa moja inayowaunganisha,ni waingereza.
Waingereza wanatabia ya upambanaji hasa bila kujali wanakipaji au hawana ila watapambana kupata wanachotaka.
Mwingereza anaweza asiwe bora ila akaamini yeye ni bora kuliko wewe na akakushinda.
Waingereza wanaamini kwenye hard working kuliko kipaji.they give it all to preserve their pride.na kwa timu inayohitaji kupambania mataji hii akili na tabia ni muhimu saana.guardiola aliliona akaleta waingereza and it paid.
Decline rice.mwangalie body language yake na umri wake haviendani.ana seniority body language.anaamini anastahili kilicho bora na anaamini anacho kilicho bora cha kuoffer.
Decline rice.Angalia statement zake haamini kama kuna team bora kuliko aliyopo,hakuna kocha bora kuliko anayemfundisha na kikosi chenye wachezaji bora kuliko wanaomzunguka kwa sasa. Hii inaondoa inferior feelings na inaimarisha self esteem yake.Mbishi hasa.
Check anavyohandle media na expectations zinazotokana na price tag yake, Its like I don't care.Price tag imemmaliza pepe,inamtesa mudrick na inamyoosha nunez pale Liverpool .
Mwangalie glealish,hata hakumbuki alinunuliwa kiasi gani.its none of his business anahisi alistahili.Rice ameonyesha kuhandle presha.
Mimi natarajia kumuona rice kuanzia february na hapo kila mmoja atajua thamani ya roho ya kiingereza hasa hawa WEUPE NOT BLACKS.
Mpeni muda decline rice,sio mech kadhaaa,wiki kadhaa au mwezi.mpeni muda awaaambukize tabia ya ushindi.