johrobby
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,066
- 2,252
your going to die





your going to die





Wametufunga zote mkuu, nje ndani. Kama una swali lingine liweke kabisa hapa.Nipeni takwimu za last 8 match btn Arsenal na City, nataka nitie mkeka![]()
Ngoja niwaue mapema kabisaWametufunga zote mkuu, nje ndani. Kama una swali lingine liweke kabisa hapa.
Pia kwa kukuongezea, hatujachukua EPL since 2003/2004. Na hatuna UCL hata moja.
Kwa nini imekua ngumu kwenu kuzuia hata sare dhidi ya City? Mbona ile Barcelona kali ya pep mlikua mnajitutumua mnaifunga, City mnashindwa wapi kila mechi 3+ ?Wametufunga zote mkuu, nje ndani. Kama una swali lingine liweke kabisa hapa.
Pia kwa kukuongezea, hatujachukua EPL since 2003/2004. Na hatuna UCL hata moja.
2-0 history repeats on itselfImportant game ya leo tunayoisubiri, katika games almost 11 vs Manchester City tumewin 1 na kupoteza 10 games ,so ni kipimo sahihi kwa game ya leo kuona dira ipoje sababu last season walitupiga EPL na FA cup so leo ni leo katika EPL kila game waliscore kuanzia goli 3 tusubiri tuone hiyo jioni

Thuram ni mfaransa mtoto wa Lilian ThuramThuram ni Mmarekane mwenzie.
Ni kama Martinelli alivyompa mkono Richarlson
Utalia shauri yakoNgoja niwaue mapema kabisa
Nimemix codeThuram ni mfaransa mtoto wa Lilian Thuram
Anacheza National team, namkubali Sana Thuram ,Sasa yupo Intermilan
Ninachokiona Arteta hawez kurudi nyuma Tena ,ukiangalia mech za karibuni , mancity amekuwa kumiliki mpira hatuwezi, swala lililobaki ni kuanza kuweka mpira wavuniNi kivipi Spurs au United inaweza ifunga City kuliko Arsenal na hii haijalishi timu ipo kwenye form gani.
Spurs ina Kane na Son. United ina kupaki basi na counter.
While Arsenal hatuna forwards threats wala mpira wa basi na counter. United ina forwards wana pace, kuanzia Rashford, Sancho, Martial, Anthony wote wana speed. Its easier kwao kusubiri kaunta.
Kwa Arsenal counter ni sehemu ya mchezo na siyo mchezo mzima. Kwa united ni Spurs counter ni mchezo mzima.
Tuliwahi mlaumu Wenger miaka ile ya kila tukiingia UEFA tunakutana na Bayern au Barcelona. Tukasema shida ya Wenger hajui ni muda gani asishindane mbinu badala yake akubali kupaki basi na kucounter.
Nafikiri dhidi ya City Arsenal tukubali kubadili mbinu. Kwa hawa sajili mpya sijaona anayeweza kutufanya tuwe lethal kule mbele, watapeleka mipira ila finishers hakuna.
Yaambie maAsenyo haya.Unapigwa kila msimu home and away unapata wapi nguvu ya kujiita top team.
Hapa nakukatalia sisi Manchester City hatumuwezi abadani alivyosema Castr yupo sahihi sometimes inabidi uchange formation kutokana na mpinzani wako Emirates Pep (Genius)alituacha tumiliki mpira na akatubonda kwa nyundo 3 pekee ,(ARSENAL LEO ATAWIN GAME LEO KAMA ATABADILI FORMATION YAKE YA UCHEZAJI) otherwise tutamiliki mpira kisha paap nyundo za kutosha tutapewa kwa sasa narudia hakuna team yoyote duniani I repeat duniani ambayo itamfunga City kwa kumìliki mpira HAKUNANinachokiona Arteta hawez kurudi nyuma Tena ,ukiangalia mech za karibuni , mancity amekuwa kumiliki mpira hatuwezi, swala lililobaki ni kuanza kuweka mpira wavuni
Tumepitia era Kama 3 ,Wenger mwishon, Emery aliyeharibu falsafa ya Arsenal, na Arteta katika kurudisha culture, vipindi vyote hivo vya mpito mancity amekuwa Bora, ni wakati Sasa Tuanze kumchabanga ,
Arsenal hata Leo hawawez kukubali wapaki Basi ,Pep mech za karibuni amekuwa akitu win sababu project yake ni ya muda mrefu kuliko sisi pia amekuwa na wachezaji quality kuliko sisi
Hata Liverpool ametusumbua ,muda wake umefika ,
Nimekuwa nikiona progress vs city miaka miwili hii ,kuanzia ile mech pale Emirates,refa anawabeba ,
Pep hawez kukuacha umiliki mpira ,nikuzidianaHapa nakukatalia sisi Manchester City hatumuwezi abadani alivyosema Castr yupo sahihi sometimes inabidi uchange formation kutokana na mpinzani wako Emirates Pep (Genius)alituacha tumiliki mpira na akatubonda kwa nyundo 3 pekee ,(ARSENAL LEO ATAWIN GAME LEO KAMA ATABADILI FORMATION YAKE YA UCHEZAJI) otherwise tutamiliki mpira kisha paap nyundo za kutosha tutapewa kwa sasa narudia hakuna team yoyote duniani I repeat duniani ambayo itamfunga City kwa kumìliki mpira HAKUNA
Sawa ila sio kwa Arteta vs Guardiola yes we are Arsenal but ukweli ni uwazi tumfunge PEP kwa Kumiliki mpira?hehehehehe tuachage utani kwenye mambo serious ,Real Madrid, Bayern, hata Arsenal hawa wote wamekutana na nyundo za kutosha walivyotaka kumzidi Genius kwenye kumiliki mpira kipara games za Manchester United and Liverpool why unahisi zinakuwaga ngumu kwake ?hata kama atashinda?sababu ni COUNTER ATTACK that's itPep hawez kukuacha umiliki mpira ,nikuzidiana
Hakuna kocha dunian anapenda kukaa nyuma
Ukiona Arsenal anakaa nyuma tumezidiwa Kama ilivyokuwaga kwa Emery au Arteta wakati anafika alikuwa Hana wachezaji hao
Pep ni muumini wa possession football ,hizi kauli kwamba anakuachia mpira mnazitoa wapi, kasome Kitabu chake utaelewa ni Nan
Anayemiliki mpira ndiye mwenye chance kubwa ya kushinda ,
Kwao kumepoa mkuu usimlaumu.hatujabeba epl for 20years ila jukwaa lipo juuu.ndo maana mkuu Flano anaombea tusibebe ubingwa maana mitaa na majukwaa yatapata shida.
We know how to enjoy every moment of the game


Mwanangu toobiter mechi ya ngao ni saa ngapi? Bayern ,Real Madrid za Sasa hazina quality ya kutosha ,mbona tunasema kila siku humu ,Sawa ila sio kwa Arteta vs Guardiola yes we are Arsenal but ukweli ni uwazi tumfunge PEP kwa Kumiliki mpira?hehehehehe tuachage utani kwenye mambo serious ,Real Madrid, Bayern, hata Arsenal hawa wote wamekutana na nyundo za kutosha walivyotaka kumzidi Genius kwenye kumiliki mpira kipara games za Manchester United and Liverpool why unahisi zinakuwaga ngumu kwake ?hata kama atashinda?sababu ni COUNTER ATTACK that's it
Na hii ni akili ya kawaida tu.Hapa nakukatalia sisi Manchester City hatumuwezi abadani alivyosema Castr yupo sahihi sometimes inabidi uchange formation kutokana na mpinzani wako Emirates Pep (Genius)alituacha tumiliki mpira na akatubonda kwa nyundo 3 pekee ,(ARSENAL LEO ATAWIN GAME LEO KAMA ATABADILI FORMATION YAKE YA UCHEZAJI) otherwise tutamiliki mpira kisha paap nyundo za kutosha tutapewa kwa sasa narudia hakuna team yoyote duniani I repeat duniani ambayo itamfunga City kwa kumìliki mpira HAKUNA