arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,357
- 4,402
Mzoee kucheza Alhamisi mkuu kama Lavia kuwasajili anawashinda....naona unalalamika kule jukwaa Lenu kususasua kumchukua Tchouameni 😅😅😅Usitafute sympathy mkuu.
Leo mtajua kuwa Arsenal ni mbovu na ni ile ile ya kina Chamack.