Anajua anachokifanya,Huyu AW.......Ubahili wake unamfanya azidi kukera kwa kigeugeu.......aaaaaaaaargh

Anajua anachokifanya,
Hulazimishwi kuishabikia Arsenal,
Tuache wenye moyo na Timu yetu tuendelee nayo kama ilivyo.
Mi nimeamua kukaa benchi mwaka huu,sitahama Arsenal lakini ile kufatilia saaana hapana.Naipenda Arsenal toka enzi za kina Ian Wright and Dennis Bergkamp-the iceman lakini Wenger anajaza maji kwenye gongo-too dilute.Hujakosea hata kidogo mkuu...Anachoona(AW) ni sahihi ni kuwafanya Arsenal wasindikizaji wa Man Utd na Chelsea(na sasa Man City)....Pamoja na kuifanya Arsenal iwe feeder club ya club zingine kwa ubahili wake.....I hate AW.....
Huu ni upuuzi kamanda huwezi sema kupoteza captain na influential player kama Nasri eti hakuna pengo! Unajidanganya mazee this is only a wankers ideology ...! Mtachechemea sana kwenye ligi. Kusajili watoto ni tatizo!! kwenye ukweli uweke wazi ! Mnahitaji beki four wa kueleweka Jagy, Scott AMA Garry na kiungo mmoja mzoefu
Pamoja sana mkuu.........Na hapa ndipo ninapomkubali Mbu...kama ni "pengo" ...ni hao "THE INVICIBLES!" walioondoka na ku retire! wanaomshabikia Fabregas kwanini wasianze ishabikia Barcelona anakoelekea? Kina bendera fata upepo wengi tu, mfano; waliohamia Real Madrid sababu ya Ronaldo, au Inter Milan sababu ya Mourinho,...
...ARSENAL is the team and life has to go on!!!

...Masanilo huo ni mtazamo wako, nami namtazamo wangu,....sawa bro?

That's so low below the belt, WTF does that have to do with my support for ARSENAL?

Kila mtu mmoja wetu hapa ana sababu yake ya kushabikia huko anakoshabikia.

Kuna wale walioanza ishabikia CHELSEA sababu ya Mourinho,

Mimi sishabikii Arsenal sababu ya Fabregas au Nasri...nashabikia ARSENAL!

Narudia kusema tena,....Fabregas alianza manung'uniko tangu FLAMINI aondoke, since then...performance yake haikuwa

sawa kama alivyobreak into 1st eleven baada ya Viera. Nasri pamoja na kipaji chake, tangu 2008 he's in and out of the team. Msimu wa 2010 -2011 katika mechi alizong'ara ni zile ambazo alicheza nafasi ya Fabregas, msimu ambao Fabregas amekuwa majeruhi muda mrefu kuliko misimu mingine. Now, ---link---the--- two kisha fikiria hao wawili wameisaidia nini team in terms of vikombe tangu 2006 todate!

....huwezi nilazimisha theories zako eti nione Fabregas na Nasri ndio pengo wakati mtazamo wangu tofauti. Huo utakuwa ni ujinga uliotukuka. Sawa na mimi ning'ang'anie kukwambia CHELSEA mna pengo la Kerry Dixon, au Bobby Tambling...WTF?

The Winners! Generation ya kina Viera was 'the Crop' of the Invicibles,

...kama ni "pengo" ...ni hao "THE INVICIBLES!" walioondoka na ku retire! wanaomshabikia Fabregas kwanini wasianze ishabikia Barcelona anakoelekea? Kina bendera fata upepo wengi tu, mfano; waliohamia Real Madrid sababu ya Ronaldo, au Inter Milan sababu ya Mourinho,...

...ARSENAL is the team and life has to go on!!!

Sherrif... mbona umenivamia kwenye avatar?Ni ukweli usiopingika
Idadi ya mashabiki wa Arsenal wanaojinyonga msimu huu itaongezeka
Haya bwana Mbu!Ingependeza Kama Gerv could have started with a goal rather than a red card for diving and slapping Barton! Pamoja na maelezo mengi it was obvious Cesc alikuwa anaondoka, Nasri, Nicky, Clinchy....central defender wakueleweka kwenu ni Thom tu...timu yenu ingeziba hayo mapengo mapema...Nimeangalia mechi ya jana your team is so fragile, it don't count on them again this season...labda Kama kutafanyika usajili wa kueleweka. kusema hakuna mapengo ni kujipa sifa za Magamba
Kila mtu mmoja wetu hapa ana sababu yake ya kushabikia huko anakoshabikia.
Kuna wale walioanza ishabikia CHELSEA sababu ya Mourinho,
Mimi sishabikii Arsenal sababu ya Fabregas au Nasri...nashabikia ARSENAL!
Narudia kusema tena,....Fabregas alianza manung'uniko tangu FLAMINI aondoke, since then...performance yake haikuwa
sawa kama alivyobreak into 1st eleven baada ya Viera. Nasri pamoja na kipaji chake, tangu 2008 he's in and out of the team. Msimu wa 2010 -2011 katika mechi alizong'ara ni zile ambazo alicheza nafasi ya Fabregas, msimu ambao Fabregas amekuwa majeruhi muda mrefu kuliko misimu mingine. Now, ---link---the--- two kisha fikiria hao wawili wameisaidia nini team in terms of vikombe tangu 2006 todate!
....huwezi nilazimisha theories zako eti nione Fabregas na Nasri ndio pengo wakati mtazamo wangu tofauti. Huo utakuwa ni ujinga uliotukuka. Sawa na mimi ning'ang'anie kukwambia CHELSEA mna pengo la Kerry Dixon, au Bobby Tambling...WTF?
...kama ni "pengo" ...ni hao "THE INVICIBLES!" walioondoka na ku retire! wanaomshabikia Fabregas kwanini wasianze ishabikia Barcelona anakoelekea? Kina bendera fata upepo wengi tu, mfano; waliohamia Real Madrid sababu ya Ronaldo, au Inter Milan sababu ya Mourinho,...
...ARSENAL is the team and life has to go on!!!
Haya bwana Mbu!Ingependeza Kama Gerv could have started with a goal rather than a red card for diving and slapping Barton! Pamoja na maelezo mengi it was obvious Cesc alikuwa anaondoka, Nasri, Nicky, Clinchy....central defender wakueleweka kwenu ni Thom tu...timu yenu ingeziba hayo mapengo mapema...Nimeangalia mechi ya jana your team is so fragile, it don't count on them again this season...labda Kama kutafanyika usajili wa kueleweka. kusema hakuna mapengo ni kujipa sifa za Magamba
Nilisema? Kasome tena post yangu niliuliza "Gervinho naye diver?" Wacha kelele msipoangalia keshokutwa mtatolewa kwenye champions league.
Idadi ya mashabiki wa Manure wanaojinyonga msimu huu itaongezeka
Arsenal timu yetu bado sana.......
Wenger anapaswa kusajili haraka sana kabla mambo hayajaharibika zaidi,anapaswa kusajili mabeki wawili(wakati mmoja na wa pembeni kushoto mmoja).....Pia anapaswa kusajili kiungo wa kuziba nafasi ya Nasri....Huyu Ramsey leo amecheza urojo tu,alilegea kama Diaby vile,hakuwa kwenye form kabisa......Pia tunahitaji mshambuliaji wa maana ambaye atasaidiana na RVP pale mbele......Yasipofanyika haya nachelea kusema tutashika nafasi ya 10 kama siyo ya 15 msimu huu......Tumshukuru Mungu hatujafungwa leo...
Naukumbuka wimbo wa Nachechemea utunzi wake Hussein Jumbe akiwa na DDC Mlimani Park Orch. wana Sikinde Ngoma ya ukae a.k.a Nginde...
Mkuu wangu sana Kweli.....Nimekusoma vizuri sana....Imekuwaje tena Bala? Hapo kwenye nyekundu duh! sikutegemea kusikia haya kutoka kwako kamanda........ Timu bado sio MBOVU kiivyoo mazee, wengi wetu tunaamini (hata baadhi ya wapinzani wanaolewa mpira wanafahamu) kwamba tukipata wachezaji experienced walau watatu ambao ni world class kwenye nafasi zinazoeleweka tunaweza ku-challenge ubingwa na hizo ndio frustrations zetu kwa Wenger na bodi.
Tusipofanya usajili itatuwia vigumu lakini hata kwa timu hii-hii tuliyonayo siamini kwamba tutamaliza chini ya Liverpool ama Spurs, Liverpool pamoja na kufanya usajili mzuri lakini staili yao ya Ken wako karibia sawa na Spurs (mpira wa kiingereza) na kwa staili hii utakuta watakuja na vishindo vingi lakini ikifika Febuari wachezaji wote wanachoka kabisa, wanawaachia wenye nafasi zao.
Usijali mkuu tusiposajili nafasi ya nne is the worst we can finish. Kama tutasajili wachezaji hata wawili wa kueleweka basi trophy japo 1 guarantee.
Jengine nililoliona ni Wenger ameshabaini kwamba ni bora uwe na mchezaji ambaye anakupa asilimia 100 akiwa uwanjani kuliko mijina mikubwa inayoleta usanii na ubangaizaji, bado mapema lakini ligi ikichanganya tutegemee makubwa toka kwa akina Gibbs, Frimpong, Chamberlain na Jenkinson, these guys will give us100% commitment every time on the pitch, no good having half committed Nasri, Cesc and Bendtner
Good Riddance!