hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,250
- 26,641
Kwamba!?
Mimi siyo deluded fan kama wewe. Arsenal kwa kikosi bado sana.

ni wachezaji wawili au mmoja tu ndio anweza kuingia first eleven ya Arsenal Muda utaongea Mimi hata top 6 siwaoni mkiingia
Kama ile mech imewadanganya Basi mnakazi Sana
Last season pale OT mlivyoshinda nilisema tumecheza hivi makosa ya refa na makosa binafs ya Lokonga , ndio yaliwapa kiburi ,but tutashinda mech nyingi mbele na ndicho kilitokea
Mimi sio shabiki wakuishia kuangalia matokeo tu
Kushinda Jana ni sawa na kunguru kumnyea binadamu
Two own individual errors
️ wanaijua sisi wengine tunakaa na kushangaa is it true kuwa tupo tayari kucompete na giants?unabaki unacheka tu jana Manchester United ni kipimo sahihi sana kwetu zaidi ya sana licha ilikuwa ni friendly tu
