Wewe ulijitapa sana hapa na makelele kibao tatizo Wenger orphans hamtaki kukubali ukweli hata shabiki wenu mmoja hakiwa mkweli mnamuona kama malaya.Hawa watadanganyika Wana timu kumbe mtego huu
🤣🤣🤣🤣Wewe waache wajidanganye Wana timu
Sasa hivi watajisahau wataona ni mataito contender
🤣🤣🤣🤣Juzi nilikuwa nacheki game arsenal vs MLS ndani ya dk 25 za mwanzo nikaona mmh hii timu upepo umekata hata kupiga pasi ilikua shida , MLS amepata chance zaidi ya 6 ndani ya dakika hizo hizo ni vile wakina benteke wazee wanakosa utulivu , Puig kashika dimba utadhani sio yule barca waliomtema.
Huyu viera ivi mlimtoa timu ganihata kupiga mpira tu hawezi , juzi nimemcheki pia nikasema humu, huyu hata championship tu haweziiii kucheza first eleven au tu timu iwe inamtegemea haiwezekaniii wakaja vijana wa praise humu oooh viera ame improve nikashangaa maana niliona dogo kidogo aliye improve ni marqhuinos huyu viera bado yule yule muoga aibu kibao kama pepe tena bora ya pepe .
Kitasa maguire naona leo yupo uwanja mzima mpaka kitambaa wamrudishie ana oveload na kupresss.
Zitakuja false hope kesho humu “ tumewaachia washinde ili wavimbe kichwa wajiite title contender or hii ni friend match” sawa umewaachia mpira uliocheza wewe unaridhisha? Second half yote sijaona arsenal alichofanya hata ile kuleta threat kwa man utd hamna.
Amini amini nawaambieni arsenal fans nyinyi ni big 4 chasers this seasonLiverpool karudi Newcastle hatoki mule na man utd ndo huyo hapo hajafanya usajili anakimbiza mwizi kimya kimya
Msiogope kizurii match ya ligi arsenal vs man utd ni matchday 6 tu kama sio 7 naamini oveload na pressing bado hazijaanza timber hajawah inverted mid au zincheko hawa man utd watakufa 8, hope is always hope even its false hope.. come on bottlers!!
4-3-3
Possess kwa 3-2-5
Saliba Magalhaes Tomiyasu
Timber Rice
Saka ode nketiah Kai MartinelliView attachment 2696469
Ni lini mara y mwisho umechukua point6 kwa arsenal kama haijapita miaka5 sijui mtu anaetupa mtihan wa kupata ushindi ni city pekee nyumbu wengn wote either mshangilie ushindi wa favour z marefa au sare....haka ka ushindi utakajutia nakwambiahii ni mechi ya kirafiki tu, ila points zenu 6 kwenye Epl bado ziko palepale.
Huyu ni mpumbav na muongo..kama hatak kua Quoted aanzishe jamii forumn yake aiite Hamis Forumn awe anacomment mwnyw.. Ww hapa jukwaa la mpr hutak kua Quoted na unaongea mambo ya uongo we nan bana?Matusi ya nini tena mbona huwa unakasirika sana tukikuambia ukweli kijana, Tulia hapa sio kitchen party ushazoea u mc basiii unataka kuongea pekee yako.
Punguza hasira brother we are here against false hope and you are the one who bring false hope .
Hawa wapuuz we ngj wadanganye hapa watajuta.. Yan na walivo wengi ni manyumbu kila msimu wanasahau wanakuja na matarajio eti msimu huu watabadilikaWazee wa kuinvert kiungo, na kuinterchange play, tupeni updates ngapi ngapi huko??
Kamba mbili half time tayariii vikao 2 , tulisema hii timu ni upepo tu.
Sizioni hizo mara timber anaingia kati mara sijuiii zincheko maneno kibao mpira zero
Yan hauwez mkuta humu saiv alivo mjinga anasbr kuja kudanganya wenzake upepo ukitulia.Kuna kajamaa humu kanapiga kelele sanaaa muda wote ni kelele mpaka muda huu kamenyuti.
Punguza wenge basi mkuu, goli mbili tu tena mechi yenyewe ni ya kirafiki tu inakufanya unapagawa mpaka unashindwa kusoma comments vizuri?Ni lini mara y mwisho umechukua point6 kwa arsenal kama haijapita miaka5 sijui mtu anaetupa mtihan wa kupata ushindi ni city pekee nyumbu wengn wote either mshangilie ushindi wa favour z marefa au sare....haka ka ushindi utakajutia nakwambia
Unatumiaga kilevi gani?Haya matokeo naona yanafaida kubwa kuliko hasara
Timu haiuzwi
Timu kumbe tayari imekamilika, no ins
Kwenye Epl nyumu asipopigwa doz (3) na arsenal Basi niulizwe Mii, shida ni Nini?
Tumepigwa 2 kwa zero na penalties tumelose what does it mean?yes ni friendly game but pia ndio inatakiwa userious uonekane hapo Ramsdale kwa penalties ni paka na panya kiujumla tumezidiwa na bado team haijakamilika August 6 vs Manchester City kwa squad hii unaona tutatoboa?even kwenye EPL and champions league?OK let's wait and see na problem ya baadhi ya fans ni kujiona wao footballNi mtazamo wako na ni haki yako.unajua kwanini mechi kama ya leo ni muhimu?.kuna mengi ya kujifunza kuliko matokeo.
Kumbuka.IF YOU NEED TO BE A HERO BE A MAN FIRST
Naamka muda huu hata penalties pia tumepigwa?ohhhhh kweli nyumbu kapiga kila sehemu ya mshono
Huna timu ya kuchukua hata point 1 kwa Arsenalhii ni mechi ya kirafiki tu, ila points zenu 6 kwenye Epl bado ziko palepale.