Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,676
- 8,246
<br />Finally FABricatedGAS jets away from london and he is on the verge to complete his dream move to the barcelona outfits for a fee of around £31m!,pedro is eagerly waiting for you to accompany him warming the barca bench.
...dahhh, yaani 'wazee wa mabundi' mmejaa humu ndani utasema ligi ishamalizika!
ROSICKY ndio mashine mpya pale katikati, mtashangaa wenyewe msimu huu!
The Gunners wenzangu kaeni mkao wa kula...mdumange pyeeeeeeeee.....kipute uwanjani...
Tunaanza na Toons Army, ....Next!!!!....
Yule Arshavin kama angekuwa kaacha uvivu pale kati angetutoa sana.Jamaa alikuwa anapiga ma pande ya maana sana kule kwao sema kaja kwetu AW kamuaribu. Na sasa naona bench ndio imekuwa kawaida.Huwa nasema labda Wenger angemuonesha kwamba anamuhitaji ingesaidia lakini AW nae kashamsahau.Wilshere leo pengo pale kati ,tusubiri list kamili baadae tuone huku tunasubiria usajili wa beki na midfielder....dahhh, yaani 'wazee wa mabundi' mmejaa humu ndani utasema ligi ishamalizika!ROSICKY ndio mashine mpya pale katikati, mtashangaa wenyewe msimu huu!The Gunners wenzangu kaeni mkao wa kula...mdumange pyeeeeeeeee.....kipute uwanjani...Tunaanza na Toons Army, ....Next!!!!....
Leo ndo tutaanza kujua kama humo kuna kitu,vipi Eboue katoswa maana sione namba yake kwenye list mpya.Newcastle vs Arsenal Sunday 17:30
St James Park, live from ESPN
Timu imefikia mji wa Durham maana hoteli iliokusudiwa iliopo pale mjini Newcastle patakuwa na sherehe ya harusi!
Nikiwa na majukumu ya logistics kwenye artillery niliyopewa na mkuu Kweli mimi na wenzangu tumekwishakagua maeneo yote yanayozunguka mji wa Newcastle na vitongoji vyake, na tumeona Durham panafaa kupumzika kwa leo na kesho asubuhi timu itaenda St james park kufanya mazoezi.
Arsenal probable team
![]()
<br /><font color="#800000"><font size="4"><b>Vijana wapo safi tutawaona kesho kwenye fungua dimba. Asiye na mwana aeleke jiwe. Nasikia wanoko tayari wanajiweka sawa kwenye summer of rumour mongering.</b></font></font>
<br /><font size="3"><span style="font-family: book antiqua"><b>ROSICKY</b></span></font> msimu huu najua atawika tu ...
...dahhh, yaani 'wazee wa mabundi' mmejaa humu ndani utasema ligi ishamalizika!
ROSICKY ndio mashine mpya pale katikati, mtashangaa wenyewe msimu huu!
The Gunners wenzangu kaeni mkao wa kula...mdumange pyeeeeeeeee.....kipute uwanjani...
Tunaanza na Toons Army, ....Next!!!!....
...dahhh, yaani 'wazee wa mabundi' mmejaa humu ndani utasema ligi ishamalizika!
ROSICKY ndio mashine mpya pale katikati, mtashangaa wenyewe msimu huu!
The Gunners wenzangu kaeni mkao wa kula...mdumange pyeeeeeeeee.....kipute uwanjani...
Tunaanza na Toons Army, ....Next!!!!....
Now, thats the spirit nataka gunners wote tuwe nayo!
Why not, kila mpenzi wa EPL anadai tumekwisha, hata top 5 hatuipati, wanasema hayo kwa kisingizio cha sie kupoteza wachezaji na wao kununua wapya.
Ila kwanini tunatabiri kabla ya kigi haijaanza?
Wabongo tuna msemo, "mpira unadunda...!"
Hao wakina Peasantna manguli wanaotuchukia, na uhakika watakimbia humu, nakubakia kwenye threads za club zao tu!
Walete walete.....!
Yule Arshavin kama angekuwa kaacha uvivu pale kati angetutoa sana.Jamaa alikuwa anapiga ma pande ya maana sana kule kwao sema kaja kwetu AW kamuaribu. Na sasa naona bench ndio imekuwa kawaida.Huwa nasema labda Wenger angemuonesha kwamba anamuhitaji ingesaidia lakini AW nae kashamsahau.Wilshere leo pengo pale kati ,tusubiri list kamili baadae tuone huku tunasubiria usajili wa beki na midfielder.
Leo ndo tutaanza kujua kama humo kuna kitu,vipi Eboue katoswa maana sione namba yake kwenye list mpya.
Sijui Balatanda yupo mitaa ipi?
Kwa uhakika kabisa hii Arsenal ya mwaka huu ikijitahidi sana itaishia nafasi ya kumi! Mbu/Balatanda/ and Arsene poleni sana - lakini ukweli ndiyo hu...
Leo mnachapwa 2 - 1!
Kipute kinaanza leo, team iko disrupted, lakini bila shaka The Boss anajua anachofanya to keep the spirits high.....licha ya kusajili AW inabidi amtafute pyschologist mzuri....hilo ni eneo ambalo anashindwa...lakini lazima apewe support, nina uhakika atadeliver soon!! Sometimes bad elements inabidi kuzitoa kwenye team kumaintain team spirit, unapokuwa na watu ambao kila siku wapo kwenye media haileti raha...
Arsenal is not a two player team, nani anasema tutashuka daraja kwa kuwakosa Cesc na Nasri? Mwaka jana ndio msimu ambao Cesc alicheza mechi chache na ndiye aliwapa Barca ushindi, Arsenal wamewakubalia wamchukue tangu juzi lakini Barca ngawila za kutoa hamna hivyo wanasubiri mechi yao ya J2 angalau wapate £3 miillion kwenye kiingilio ndio walipe. Hii timu ina matatizo kweli ya mpunga, waacheni wajijengee kaburi. Nasikia Cesc atakuwa bench fulltime hadi baada ya miaka miwili.
Bundi makazi yake ni Emirates stadium, kama hujui ni kwamba yuko hapo tangu uwanja ujengwe!
Yeah, ni kweli Rosicky ni mashine mpya kule chumba cha matibabu.
Now, thats the spirit nataka gunners wote tuwe nayo!
Why not, kila mpenzi wa EPL anadai tumekwisha, hata top 5 hatuipati, wanasema hayo kwa kisingizio cha sie kupoteza wachezaji na wao kununua wapya.
Ila kwanini tunatabiri kabla ya kigi haijaanza?
Wabongo tuna msemo, "mpira unadunda...!"
Hao wakina Peasant na manguli wanaotuchukia, na uhakika watakimbia humu, nakubakia kwenye threads za club zao tu!
Walete walete.....!
Ahsante mkuu kwa hili. Inaonyesha kuwa eneo hilo liko well covered kutokana na profile na uwezo wa mtu wanayemtumia, na methodology yake. Tatizo langu ni kwenye team, namna gani wachezaji wanakuwa motivated kushinda mechi au wanavyoandaliwa psychological kwenye mechi, bila kujali kubwa au ndogo, mara kadhaa tumefall short kwenye mechi na timu za kawaida na kushinda big matches...
....Psychologist?...Meet Jacques Crevoisier... the brains behind Arsene Wenger's youth revolution![]()
Read more: Meet Jacques Crevoisier...the brains behind Arsene Wenger's Arsenal youth revolution | Mail Online