Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mikel Arteta:

“Sasa tuna viungo 3 wazuri sana wa kukaba naye (Rice), Thomas na Jorginho.

sababu ni wazuri sana na napenda kucheza na viungo.

Kwa hivyo, tunafikiria mambo machache tunayoweza kufanya ili kuongeza sifa zao.”

(@CBSSportsGolazo
20230719_181619.jpg
20230719_181614.jpg
20230719_181611.jpg
 
Listening to the latest Arseblog with Gunnerblog on YouTube and he says something very interesting

Basically he says once City expressed an interest in Rice, West Ham told them they could try but they would likely be wasting their time as Rice wants Arsenal

Really liked that
 
Ni kwa sababu Stats zake upande wa defense ni mbaya ukilinganisha na Rice. Caicedo anamzidi Rice kwenye attacking aspects while Rice anamzidi Caicedo kwenye defensive aspects.
Lakin mbona stats za Rice kwenye attacking nazo zinaonesha ni nzuri kuliko #8 wengi

Thus why Arsenal fans wanataman kuiona Trio ya

Partey Kama #6 Rice na Øde Kama double 8

Maana humo utapata Radha zote za midfield
 
Namba 8 wengi but sio Rice. Kuwaanzisha itategemea na formation, game approach and strength of opponent team.
 
️ | Arsenal boss Mikel Arteta has confirmed that he expects to see Declan Rice and Thomas Partey play a lot together this season.

. ....saka. .................. 9. ............. .Martinel

. ...........Rice. ....................... . Odegard
.
. .............................partey
.
. . zincenko........... 4. .....5. .............Timber

. . ..........................Rams.

Tano akisimama ata magwaya lazima atakua vizuri tu

Tisa akisimama ata unayoisoma hii comment, uwe tu kubutua mpira kazi imeisha

Jamani eeenh ligi ianze tu, ili tuanze kuheshimiana

#ArsenalNDOO
 
Pepe ni mjinga anataka mshahara mkubwa ,ndio maana Arteta kamuacha

Mazungumzo kati ya mshambuliaji wa Arsenal Nicolas Pepe na klabu moja ya Saudi Arabia yamesambaratika. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ivory Coast alikuwa amepewa kitita ambacho kilijumuisha mshahara wa jumla wa Euro milioni 5 pamoja na marupurupu makubwa lakini klabu hiyo sasa imehamia kwenye malengo mengine.

(@jamesbenge)
 
Yeah, hiyo B ipo tayari yaani! Kai anaweza kuwaka baadaye akaanza piga watu benchi hatutaamini.
Nane tunao wengi naona had TROSAARD atacheza Sana hapo

Kai akitulia hapo nane ya kushoto ,halafu Kuna kale kamchezo ka Arsenal kakubadilisha namba ndan ya mchezo ,unamkuta Jesus kawa no.11 ,, Kai kaingia 9 , martinelli karud chini

Wazungu wanaita positional play , kale ndio kanafanyaga usijue Nan anafunga goli
 
Positional play, Kai ndio master wa hii michezo kitu ambacho xhaka ni mgumu kunyambulika

Na kwasababu michuano ni mingi,
Kai, rice partey, odegard, joginho hizi mido zitakua zinapigwa rotation ya hatari sana

Kuna game duo itakua, joginho rice na odegard

Kuna game duo itakua, Kai ode na rice

Kuna game duo itakua rice Rowe na partey

Na Kuna hii ya moto; rice odegard na partey
 
Kapten mtoto kaongea
20230719_203154.jpg
 
Back
Top Bottom