Hakuna kufuru ,muwe mnaangalia mpira muache kukariri ,last season niliposema Arsenal anaenda kugombea ubingwa mliona natania ,hizi kufuru zenu ndio zinazo waponza.
Sawa wazee wa phase4, tunasubiri ligi zianze mtuonyeshe kwa vitendo jinsi Arsenyo atavyobeba treble msimu huu.Hakuna kufuru ,muwe mnaangalia mpira muache kukariri ,last season niliposema Arsenal anaenda kugombea ubingwa mliona natania ,
Bayern ,Barca , Madrid , zinazidi kudrop ,ndio maana mancity aliwabonda Sana huko UCL ,
Bayern toka aondoke Lewando wamekuwa Kama nyuki wa mashineni ,hata sadio mane hawamtaki Tena, backline yao inaruhusu Sana magoli ,
Madrid ya benzema ndio ilikuwa ya mwisho, mpaka Sasa hawana pesa yakumsajili mbappe ,unategemea watakuwa hatari Sana kwa CF ya Rodrigo?
Super league ipo uingereza Sasa
Wapi tumesema imekamilikaSawa wazee wa phase4, tunasubiri ligi zianze mtuonyeshe kwa vitendo jinsi Arsenyo atavyobeba treble msimu huu.
Maana mnajiaminisha mpaka sasa hivi hakuna timu yoyote duniani iliyokamilika kuizidi Arsenyani.
Hakuna kufuru ,muwe mnaangalia mpira muache kukariri ,last season niliposema Arsenal anaenda kugombea ubingwa mliona natania ,
Bayern ,Barca , Madrid , zinazidi kudrop ,ndio maana mancity aliwabonda Sana huko UCL ,
Bayern toka aondoke Lewando wamekuwa Kama nyuki wa mashineni ,hata sadio mane hawamtaki Tena, backline yao inaruhusu Sana magoli ,
Madrid ya benzema ndio ilikuwa ya mwisho, mpaka Sasa hawana pesa yakumsajili mbappe ,unategemea watakuwa hatari Sana kwa CF ya Rodrigo?
Super league ipo uingereza Sasa
Hizo timu kubwa zote unakazania kua msimu huu zimedrop, haya tunasubiri kuwaona Arsenyau waliokamilika wakitupigia Bayern, Barcelona, Madrid na kutwaa UCL kwa mara ya kwanza.Wapi tumesema imekamilika
Yaan mnataka mponde timu yetu Tena kwa dharau muifananishe na nyumbu ambayo Ina kina Anthony masebene, tukubali tu ndio
Huo ujinga mkadanganyane kwenye jukwaa lenu
Kwa aina ya soka ninalo muona nalo, diaby anacheza kote huko na pia ni fundi, ila arterta ndio anajua anakihitaji nini kwa mchezaji, na pia sijasema kudus ni mbovu, ila jamaa aliweka option kati ya diaby na kudus unapenda yupi, nikachagua diaby
Mimi naongea facts wewe unaongea siasa,Bayern kaanza kushuka msimu wa 2, Madrid kule Laliga alikuwa anabondwa had Barcelona aliyekuwa kawaida kabeba LaligaHizo timu kubwa zote unakazania kua msimu huu zote zimedrop, haya tunasubiri kuwaona Arsenyau waliokamilika wakitupigia Buyern, Barcelona, Madrid na kutwaa UCL kwa mara ya kwanza.


Na Emile Smith Rowe naye yupo au yy hajaenda badoConfirmed kutoka chanzo Cha kuaminika
Partey has joined up with Arsenal on the USA Tour.
Partey hauzwi OGOPA MATAPELIView attachment 2693025
Yes, diaby ni zaidi.Diaby yupo complete. Diaby , kudus na Anthony bado kwangu Diaby ni far better vile hata stats zake za magoli na assist huwa zinaendana hazipishani sana.
Kuna muda watu wakisema Anthony kaflop huwa naona wanamuonea tu maana kiwango chake ndo kile kile anayoyafanya man utd ndo hayo hayo aliyoyafanya ajax nothing new.
Huyu kudus kama ndo mnataka mtu wa competition na saka basi mtakuwa mmepigwa hapa, the right man ni diaby in terms of everything. Kudus atawazururisha mabeki wawili then 3 atashindwa au atapoteza mpira
Angalia hata clips nyingi za diaby na kudus uone vile wanavyomuonesha kudus anapita watu 2 then kapoteza mpira inaanza move nyingine
Smith Rowe wanaenda wote ,huyo kakatisha mapunziko,Na Emile Smith Rowe naye yupo au yy hajaenda bado
Kwa hiyo timu zote hizo zimedrop kasoro Arse888, mkianza kuchapika usije wakimbia tu kondoo wenzio. mana unawapa wenzio matumaini makubwa kuliko uwezo wenu.Mimi naongea facts wewe unaongea siasa,Bayern kaanza kushuka msimu wa 2, Madrid kule Laliga alikuwa anabondwa had Barcelona aliyekuwa kawaida kabeba Laliga
Bado Madrid hao hao wameondokewa na Benzema
Unataka ushahidi gani
Ndio nyie nawaambia na mwenzako yule wa Chelsea,ile timu ya Chelsea bado dhaifu unamdanganya Wana timu ya ubingwa![]()
Nyie mjiandae kushuka darajaKwa hiyo timu zote hizo zimedrop kasoro Arse888, mkianza kuchapika usije wakimbia tu kondoo wenzio. mana unawapa wenzio matumaini makubwa kuliko uwezo wenu.
Kuna swala la Arse88 kumaliza ligi bila kufungwa![]()