Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

OFFICIAL ARSENAL TEAM

Saliba and Gabriel at CB
Jorginho starts in the midfield 🪄
Saka and Jesus start on the wings
Rice, Timber and Havertz on the bench

COME ON YOU GUNNERS
20230720_024101.jpg
 
Still Zinchenko, ESR and Partey to add to the squad. We are definitely building depth!
 
Kwahiyo Newcastle yako inashinda mechi zote?

Jitahidi uitoe Arsenal kichwani , Kuna jukwaa la Newcastle kalifufue upate fans

Why mnaumia Sana kuhusu Habari za Arsenal?

Kwanini usiliweke active jukwaa la Newcastle

Wewe unahisi kwanini watu wanampenda madonga ? Mikwara mingi halafu mwishoni anachezea ndo arsenal kwenye mpira

Ila zincheko ana vikao vingi sana yule mwamba this season mwambie apunguze vikao bana!! Mnapigwa goli yeye anawakusanya tu na kuwapa false hope kama unavyofanya humu

Jukwaa soon linafufuka subiri si unajua hata Newcastle tupo uefa then tunaanza na big teams zote city na liverpool then tunakuja kwa hizi brighton then false hope gunners
 
Ungefufua jukwaa Hilo angalau upate fans wawili kuliko kukaa humu Unaona wivu, Kama tunapeana hopes kwann umeekuwa unaumia

Kwann usihangaike na Newcastle na sajili zake na Jana imecheza na rangers ,muda wote upo humu kukebehi Arsenal wakati Newcastle ule Uzi wake upo domant

Inaonesha unaumia Sana kuona Arsenal tunapeana update humu,,
 
Sina cha kuumia hapo mkuu kama ni maumivu niliumia as fan na sio sasa now napoza maumivu kwa kushinda humu nikishangaa what happened mpaka arsenal ikaamua kunipa false hope nami nikakubali .
Nipo hapa nasubiri niwaangalie mnavyocheza then nije nione false hope unazowapa vijana
Huu ndo muda wenu wakutamba we know that!! Huu ndo muda wa wewe kutufukuza jukwaani kwa tambo lakini April sisi ndo tutakuwa tunakutafuta kwenye jukwaa lako umepotea kusikojulikana
 
Mimi naona unaongea ujinga ,ndio maana nilikukataza hata kuni qoute ,

Wewe mshabiki wa Newcastle ,lakin Arsenal inakuumaa Sana , usiku huu umeacha usingizi, why usihangaike na Newcastle inafanya sajili imecheza Jana

Why usifufue jukwaa la Newcastle ili watu wawe wanakupika humu

Au hiyo Newcastle yako inashinda kila mechi ? Hiyo Newcastle yako itakuwa ikibondwa huonekani?

Maana binafsi bado sion Newcastle yakuchukua point 3 kwa Arsenal
 
Fufua Uzi wa Newcastle Basi ili itakapokuwa inachezea vipigo tukuone au unajificha humu kuinanga Arsenal na kusubiri ifungwe ila Newcastle yako utaisemea wapi au kuikosoa wapi?

Huoni Kama huu ni unafiki, Mimi naamin Newcastle bado Sana nasioni ikifurukuta kwa Arsenal , thus why hata gepu lilionekana last season in term of uchezaji,ni far

Sasa wewe upo humu kukebehi Arsenal ,lakin hiyo Newcastle unayoiona Bora hutaki kufufua Uzi wake mm naamin utapata mashabiki hasa wa Chelsea soon

Kuliko kukaa humu unaponda na kukebehi tu
 
Mimi naona unaongea ujinga ,ndio maana nilikukataza hata kuni qoute ,

Wewe mshabiki wa Newcastle ,lakin Arsenal inakuumaa Sana , usiku huu umeacha usingizi, why usihangaike na Newcastle inafanya sajili imecheza Jana

Why usifufue jukwaa la Newcastle ili watu wawe wanakupika humu

Au hiyo Newcastle yako inashinda kila mechi ? Hiyo Newcastle yako itakuwa ikibondwa huonekani?

Maana binafsi bado sion Newcastle yakuchukua point 3 kwa Arsenal

At the end itajulikana nan anaongea ujinga please usijekukimbia April tunakuomba utupe ahadi kabisa utakuwa bega kwa bega na false hopers wengine as a leader

Sijaacha usingizi hata arsenal angekuwa hachezi still ningekuwa macho , Newcastle mbona nahangaika nayo tu mzee rangers jana kafa 2 then barnes yupo hatua za mwisho kuwa magpies player

Game ya mwisho umebahatisha kushinda cha moto ulikionaa this time ndo kabisa 6 points howe anabeba. Arteta unakumbuka Newcastle ilifanya aishiwe sauti baada ya kufa goli 2 mule mchaka mchaka mwanzo mwisho ben white akajifunga kisa tu msako na kipindi kile tulikuwa hatupo katika race yoyote now we are real title contender
 
Cha Moto kipi ,game muda wote Newcastle anazuia

Ndio maana nakwambia upo humu kuongea ujinga , Newcastle bado Sana kwa Arsenal bado Sana , Newcastle bado ikikutana na Arsenal approach yakwanza ni kuzuia , Sasa hiyo timu Nani aiwaze,

Ndio maana unaona aibu hata kuunda jukwaa,jivunie Newcastle ,wewe si magpies

Mimi narudi pale pale acha kufanya unafiki humu ,kafufue jukwaa la Newcastle

Au yenyewe ikiwa inafungwa tutakupata wapi?

Mimi nakuonaga mnafiki tu ,umehamia Newcastle lakin Arsenal inakuumaa Sana usiku huu umeacha usingizi unaifatilia Arsenal

Mm nitakukumbusha ufufue au utengeneze Uzi wa Newcastle ili tuje kukupiga spana
 
ARTETA KUBAYA HUKO UNAKOENDA

Kutoka credible source

Arsenal seem interested in Sporting CP player Ousmane Diomande #arsenal #afc

Wanaomjua huyu beki ni kitasa
 
Back
Top Bottom