Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

hamisa mobeto ukiwaga unaongoza ligi unakuaga na mdomo sana[emoji23][emoji23][emoji849][emoji23][emoji23] ila unajipigaga ban mwenyewe ngoja tukuache saiv unaongoza ligi
Screenshot_20230629-135722.jpg
 
Kwenye makaratasi ni viungo watatu ila with ball hapo ni viungo wanne

Zinchenko Rice Partey Ødegaard

Hakuna fala wakupoteza mpira kizembe hapo , Press resistant wote hao

Ukisimama nchale ukilala nchale

Flano na Genge lako hamuogopiView attachment 2693525
Mpira wa kuongelea mdomoni na ule wa uwanjani ni vitu viwili tofauti.
Subiri ligi ianze tuone mbivu na mbichi.
Kikubwa wasisitize tu hao wafuasi wako mwisho wa ligi wawe wapole, hatutaki matusi humu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Screenshot_20230422-105757.jpg
 
Mpira wa kuongelea mdomoni na ule wa uwanjani ni vitu viwili tofauti.
Subiri ligi ianze tuone mbivu na mbichi.
Kikubwa wasisitize tu hao wafuasi wako mwisho wa ligi wawe wapole, hatutaki matusi humu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2693623
Mimi nakusisitiza tu last season nilikwambia we are going to be title Contender na ilikuwa hivo

Msimu huu mjiandae kutoa points 6 bila shuruti

Hatutaki Tena Mambo yakupotezeana muda

Kwa Midfield hii unaponaje

Ukisimama nchale ukikaa nchale[emoji1787][emoji1787]

20230719_222650.jpg
 
[emoji599] Representatives of Arsenal, in the case of sporting director Edu Gaspar, have contacted Gremio to ‘close the deal’ for 23-year-old midfielder Bitello.

[@UOLEsporte] #afc
 
Moja ya mkakati wa Arsenal nikuhakikisha kila dirisha kubwa anashushwa kinda mmoja wa kibrazili fundi ,na huyu anakuwa ni usajili wa Edu mwenyewe na sio Arteta japo atapitishwa na Arteta

Edu alituletea Martinel ,, Marquinho na Sasa Kuna dalili akatushushia Bittelo

[emoji599] Arsenal are in negotiations to sign Gremio midfielder Bitello. Edu Gaspar is in contact with the board of Gremio to close the deal.
20230719_233329.jpg
 
Moja ya mkakati wa Arsenal nikuhakikisha kila dirisha kubwa anashushwa kinda mmoja wa kibrazili fundi ,na huyu anakuwa ni usajili wa Edu mwenyewe na sio Arteta japo atapitishwa na Arteta

Edu alituletea Martinel ,, Marquinho na Sasa Kuna dalili akatushushia Bittelo

[emoji599] Arsenal are in negotiations to sign Gremio midfielder Bitello. Edu Gaspar is in contact with the board of Gremio to close the deal.View attachment 2693680
Skauti aliyempeleka martinel asenali ndio hatariii zaidi.

Huyu bitelo kwa mllivyo muona anavitu vitu au ndio lokonga aliyechangamka tu😆😂
 
Kwenye makaratasi ni viungo watatu ila with ball hapo ni viungo wanne

Zinchenko Rice Partey Ødegaard

Hakuna fala wakupoteza mpira kizembe hapo , Press resistant wote hao

Ukisimama nchale ukilala nchale

Flano na Genge lako hamuogopiView attachment 2693525

Mikwara hii unanikumbusha kwa mara ya kwanza naona clip ya mandoga akimpiga mkwara kaoneka nikajiuliza hili jamaa la wapi mbona linaweza kuua mtu ulingoni[emoji23] ni kama wewe vile mtu anaweza kujua arsenal ni ruthless timu.

Ngoja timu iingie uwanjani sasa ikutane na watu wa kazi city na wengine unaona mara tomiyasu anatetemeka mwenye anampasia KDB. Zincheko nae huyu anakula tobo kwa arnold , anaanza kuita vikao vya kipumbavu uwanjani [emoji23][emoji23] kila mnapufungwa
IMG_1365.jpg

Picha kam hii mara nyingi huonekana kwenye viunga vya arsenal kuanzia April & May
 
Mikwara hii unanikumbusha kwa mara ya kwanza naona clip ya mandoga akimpiga mkwara kaoneka nikajiuliza hili jamaa la wapi mbona linaweza kuua mtu ulingoni[emoji23] ni kama wewe vile mtu anaweza kujua arsenal ni ruthless timu.

Ngoja timu iingie uwanjani sasa ikutane na watu wa kazi city na wengine unaona mara tomiyasu anatetemeka mwenye anampasia KDB. Zincheko nae huyu anakula tobo kwa arnold , anaanza kuita vikao vya kipumbavu uwanjani [emoji23][emoji23] kila mnapufungwa View attachment 2693697
Picha kam hii mara nyingi huonekana kwenye viunga vya arsenal kuanzia April & May
Kwahiyo Newcastle yako inashinda mechi zote?

Jitahidi uitoe Arsenal kichwani , Kuna jukwaa la Newcastle kalifufue upate fans

Why mnaumia Sana kuhusu Habari za Arsenal?

Kwanini usiliweke active jukwaa la Newcastle
 
OFFICIAL ARSENAL TEAM [emoji736]

Saliba and Gabriel at CB [emoji3464]
Jorginho starts in the midfield 🪄
Saka and Jesus start on the wings [emoji298]️
Rice, Timber and Havertz on the bench [emoji102]

COME ON YOU GUNNERS [emoji837][emoji836]️
20230720_024101.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom