ENZO
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,248
- 1,746
Sababu ni chakula chake, Ode si huwa anagawa upendo, nahis ata ugomvi wa Lecazate na Arteta kisa ni Ode kugawa upendo kwa wote wawili.SIKU MOJA NITALETA MAKALA KWANINI
Arteta anamkubali Sana Ødegaard kuliko mchezaji mwingine Arsenal
Kwanini alimchagulia jezi namba 8 ambayo yeye Arteta aliivaa akiwa Arsenal
Kwanini kwenye mazoezi ya Arsenal anakuwa nae karibu Sana na mazoezi ya wachezaji kwa wachezaji ,Arteta hufanya na Ødegaard
View attachment 2691300View attachment 2691301