Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa hiyo timu zote hizo zimedrop kasoro Arse888, mkianza kuchapika usije wakimbia tu kondoo wenzio. mana unawapa wenzio matumaini makubwa kuliko uwezo wenu.

Kuna swala la Arse88 kumaliza ligi bila kufungwa
Hawa Arsenyau jinsi wavyoongopeana humu na kuaminishana kua timu yao kwa sasa ndio bora kuliko timu nyingine yoyote hadi unabaki una
Mc Hamisi Masingeli muogope Mungu ndugu yangu, hizi zambi za kuwapa false hope hawa viumbe hazitakuacha salama mwisho wa msimu shauri yako.
 
Kikosi chenu ndo Bora basi tufanye mkuu...na mtashinda ubingwa mwaka huu maana mna squad Kali kwlikwli
 
Hawa Arsenyau jinsi wavyoongopeana humu na kuaminishana kua timu yao kwa sasa ndio bora kuliko timu nyingine yoyote hadi unabaki una
Mc Hamisi Masingeli muogope Mungu ndugu yangu, hizi zambi za kuwapa false hope hawa viumbe hazitakuacha salama mwisho wa msimu shauri yako.
Wewe endelea kumdanganya huyo jamaa ako wa Chelsea , ukifika muda muanze kuungana kumshabikia city
 
𝐄𝐗𝐂𝐋 | Arsenal defender Cédric (31) is attracting interest across Europe.

He's on radar of Villarreal, Benfica, Porto, Sporting & PL clubs. Informal discussions already happened.

350+ pro apps & Euro '16 winner with Portugal… he's open to a new chapter.
 
This is not friend match

20230719_161657.jpg
 
Arteta said Kiwior could “redefine” the way we play when he was signed in January

I think he going to play a big role next season. There’s clearly more to unlock there.
 
Away kit mwaka huu sio nzuri

3rd kit ndio imetulia sanaView attachment 2691773View attachment 2691774

Hii kit tutakuwa tumeitafuta kwa ajili ya kuwapa wapinzani kizunguzungu wakituona tunakimbia uwanjani. Itakuwa ndo sababu sisi tunaianzia mapema wachezaji wetu waizoee kwanza maana mimi nikiiona kwenye screen tu napata kizunguzungu na kichwa kinauma.
 
Thomas Partey & Emile Smith Rowe have joined up with the rest of the Arsenal squad in Washington.

(@JordanC1107 - The Athletic)-Tier 1
 
Arsenal imeenda pre season na Senior team yote Sasa baada ya Partey na Smith Rowe kujiunga Leo huko USA ,ni mchezaji mmoja tu wa academy ameenda ambaye ni Amario Dubery au Saka Jr, wachezaj wengine wa academy wameenda Spain kwa mechi za U21

Arteta want squad to be ready,in term of chemistry, style of play ,
 
Thomas Partey has a full agreement with Saudi Arabia regarding personal terms, but no official offer was made to Arsenal, which does not want to sell at present or in the future if it does not find a suitable alternative.

(@nawaf__oga )
 
kwa season hii tubaki tu na partey. Pia tuna elneny, jorginho na rice. nadhani wanatutosha. tulekeze nguvu kwenye attack. hasa forward na right wing kama tutamuuza balogun
 
kwa season hii tubaki tu na partey. Pia tuna elneny, jorginho na rice. nadhani wanatutosha. tulekeze nguvu kwenye attack. hasa forward na right wing kama tutamuuza balogun
Taarifa za Leo zinasema Arsenal hawana MPANGO wakumuuza Partey

Hiz taarifa hazina tofaut na zile za Mwaka Jana kuhusu Xhaka kwenda Roma ,had Ofa ilitumwa ,mwisho Arteta akasema hauzwi
 
Martin Ødegaard kuhusu Rice:

“Kila nilipocheza dhidi yake, niliona ubora. Yeye ni kiongozi vile vile kwa hivyo ni vizuri kwangu kufanya kazi pamoja & natumai tunaweza kusaidiana sana.

Tulikuwa na vita kali kwa hivyo nina furaha kuwa naye kwenye timu & natumai tunaweza kupata muunganisho mzuri haraka sana. Nadhani uwepo wake kwenye mchezo [kuusoma mchezo]. Ni mzuri , anaweza kuupeleka mbele moira na kimwili ana nguvu sana."

[@TheAthleticFC]
20230715_155050.jpg
 
Back
Top Bottom