hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,662
- 27,520
Rice ni namba 8 mzuri ,nashindwa kuweka video hapa ,ujue hata Pep alikuwa anamtaka Kama no.8 acheze na Rodri ,partey na rice wanaweza kucheza pamoja kwenye eneo la kati la uwanja.. kwa mfumo wa 4-4-2.
Tuombe Partey abaki wacheze pamoja , plus Zinny au timber , Kuna mtu atakuja kula 10 haki ya nani