hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,282
- 26,677
Relegation battle for Chelsea it's just a matter of timeUnamsifia wakat anawaza ujinga, kama msimu uliopita ukajaa upepo ukaanza kusema Arse88 kondoo haland kiatu. Mwisho wa siku akawakimbia.
Relegation battle for Chelsea it's just a matter of timeUnamsifia wakat anawaza ujinga, kama msimu uliopita ukajaa upepo ukaanza kusema Arse88 kondoo haland kiatu. Mwisho wa siku akawakimbia.
Dogo yupo vzr , uchezaji wake unafananishwa Sana na Saka, akipewa nafasi hata mechi zote za pre season ata surprise wengi ,maana bado hajajulikanaDogo fundi sana huyu, Marquinhos kazi anayo

️ |
Arsenal want to sell Nuno Tavares (23) this summer and have slapped a £15m-£20m price tag on him. (@BjornJournoPDA).

#AFC #TransfersTavares is a talented player but his decisions making with the ball is awful. Arsenal must sell him️ |
Arsenal want to sell Nuno Tavares (23) this summer and have slapped a £15m-£20m price tag on him. (@BjornJournoPDA).
A talented player, however, constant issues regarding his behaviour and discipline. Last season on loan at Marseille.![]()
The 23-year-old has NOT travelled with the Gunners to the USA. Expect a deal to be concluded.#AFC #Transfers
TrueTavares is a talented player but his decisions making with the ball is awful. Arsenal must sell him
Watu wa psychology na walimu wa nidhamu hii ndio kazi yao kwa wachezaji Kama hao️ |
Arsenal want to sell Nuno Tavares (23) this summer and have slapped a £15m-£20m price tag on him. (@BjornJournoPDA).
A talented player, however, constant issues regarding his behaviour and discipline. Last season on loan at Marseille.![]()
The 23-year-old has NOT travelled with the Gunners to the USA. Expect a deal to be concluded.#AFC #Transfers
Huyo ndio Mc Hamis77, kuna kondoo wake huko wameshaitikia tawireee ....Nakufatilia na kukubali sana michango yako lakini leo kwa hili la Grealish umetoa boko. Grealish huyu aliyeuwasha au kuna mwingine
Mc wa Singeli Hamis77 hana maisha marefu humu timu ikianza kupokea visago atakimbia na kambi ya upinzani tutateka rasmi hiki kijiwe cha kahawaHuyo ndio Mc Hamis77, kuna kondoo wake huko wameshaitikia tawireee ....
Kama alishakwambia Pep alifundishwa tatics na Arteta, naomba tu umwelewe.
Tuishi nae tu hivyo hivyo.
Huyu jamaa kuna siku tutamshtaki kw kuwanadanganya makondoo wenzie na kuwakimbia.Mc wa Singeli Hamis77 hana maisha marefu humu timu ikianza kupokea visago atakimbia na kambi ya upinzani tutateka rasmi hiki kijiwe cha kahawa
Pepe ana namba nzuri za GA kuliko Sancho pia
Na wengi wanakubali kwamba United kwa Sancho wamepigwa. Why? Coz hakuna kikombe United ilishinda.
Ila kwa Grealish jamaa anabisha coz mafanikio ya timu yamemask hizo poor stats
Look at my face, like I could have killed alot of people 😁😁😁😁
Umeona sasa tatizo lilipo hapa.Kumfananisha na pepe ni ujinga, yees Grealish hana stats za maana sana ila kwa pepe hells no!!! Jack ana dribble unaona kabisa mabeki wanaogopa kumkaba na anavuta mabeki wanakuja kwake na kuachia nafasi kwa watu wengine , pepe hata sijui alikua anafanya nini uwanjani yeye mwenywe muoga kukaa na mpira ndo hawezi akishika mpira unajua tu huu Umepotea!!
Panga pangua ya man city grealish ulikua humkosi this season alikua hakosi first 11, sio mafanikio ya timu yamembeba bali yeye pia amechangia mafanikio ya timu
Hivi grealish ukiachana na ku-dive ana nini kingine?Pepe ana namba nzuri za GA kuliko Sancho pia
Na wengi wanakubali kwamba United kwa Sancho wamepigwa. Why? Coz hakuna kikombe United ilishinda.
Ila kwa Grealish jamaa anabisha coz mafanikio ya timu yamemask hizo poor stats
Arsenal kwa msimu wa mechi 38 ina uhakika wa kushinda mechi 25-30 ,ikifungwa Sana ni 3-5 nyingine draw ,Mc wa Singeli Hamis77 hana maisha marefu humu timu ikianza kupokea visago atakimbia na kambi ya upinzani tutateka rasmi hiki kijiwe cha kahawa
Acha zako mzee, Caicedo X Rice hii combo world class level ya Real Madrid, hapa unaongelea mid level ya enzo / Bellingham, wanakupa ubingwa mapema mno.Mimi naomba Partey abaki ,maana hata caicedo simuamini kivile
Naamin zitakuwa kelele tu Kama zile za Xhaka kwenda Roma ,Hadi ofa ilikuja ,
Niwe mkweli Bellingham, Tchoumeni, sijawahi waelewa nasubiri uwanjani nithibitishe ,Acha zako mzee, Caicedo X Rice hii combo world class level ya Real Madrid, hapa unaongelea mid level ya enzo / Bellingham, wanakupa ubingwa mapema mno.
Bellingham tupo pamojaNiwe mkweli Bellingham, Tchoumeni, sijawahi waelewa nasubiri uwanjani nithibitishe ,
Bissouma sikuwahi muamin had leo
Caicedo nahitaji nimuone msimu mwingine isije kuwa ni one season wonder tu